Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Mimi na wewe tunaweza but vipi kuhusu vijana wa Generation Zoomer ( 1996- 2005) ambao ndio wengi Kenya viota vya starehe wanaweza kufanya hivyo?Wengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?
N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
Fafanua mkuuni ukosefu wa maadili
Duh hadi musoma vijijini? Mimi najua haya mambo yapo tu huku mjini daslamuHili lipo wazi Jana nilikua sehemu Moja Musoma vi Vingi sana
Mda mwingine ni kuacha mambo yakae kama yalivyo tu , sio rahisi kusuluhisha kila tatizo la kila mtu bwashee.Mimi na wewe tunaweza but vipi kuhusu vijana wa Generation Zoomer ( 1996- 2005) ambao ndio wengi Kenya viota vya starehe wanaweza kufanya hivyo?
FactsMda mwingine ni kuacha mambo yakae kama yalivyo tu , sio rahisi kusuluhisha kila tatizo la kila mtu bwashee.
Kuna wenye magenge na wanaouza juice ila ndani ya hiyo biashara wanauza miili pia 🤔 kuna dada mmoja kipindi cha nyuma nilishawahi mhoji kwenye viunga vya vya starehe akaniambia yeye siku kalaza pesa ndogo ni 50 , kajenga anasomesha wadogo zake na kausafiri kakuzugia anacho🤔Kufanya hiyo kazi et kisa ni umaskini pia ni fikra maskini Kwan wanaofungua magenge au kuuza juice wao hawajaona hiyo kazi? Et sababu kwetu maskini au nasaidia wazaz bas kazi ndo nifanye iyo kazi ? Maadili maadii maadili na kua na makundi ya ovyo
Bila kuichapa uongoWengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?
N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
Dah mimi kuichapa ya kuuziwa rejareja ndio kitu siwezi bwashee.Bila kuichapa uongo