Hayo ni matokea ya kufeli kwa mwanaume wa kitanzaniaWengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?
N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
Naunga mkono hojaHayo ni matokea ya kufeli kwa mwanaume wa kitanzania
Mwanza hali ikoje?Inasikitisha sana
Mwanza hali ikoje?
Mwanza Nyamagana na IlemelaMwanza kubwa hata kwimba ni mwanza. Mwanza ipi mkuu?
Mwanza Nyamagana na Ilemela
Au wanaume wote muuwaweHayo ni matokea ya kufeli kwa mwanaume wa kitanzania
Musoma maeneo gani? Naandaa research proposalHili lipo wazi Jana nilikua sehemu Moja Musoma vi Vingi sana
Mm nipo uhindini huku ndani ndani kutongoza tu issue hata lugha ya kingereza hawajuiHili lipo wazi Jana nilikua sehemu Moja Musoma vi Vingi sana
Maadili kweli na sio kupato halali?ni ukosefu wa maadili
Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni?
Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
Capripoint, Kirumba, igogoHuko mbali ungeongelea huku usagara au busisi hivi