sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,
Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.
Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa Rais Ili ajipatie umaarufu. Dkt. Kigwa anapambana kujisafisha kwa wabunge wenzake kwa kumchafua Balile, nasikia anaenda mbali zaidi anadai Balile ni mabaki ya Mwendazake hafai kusikilizwa hata kidgo.
Nae ya Balile akiwa nyumbani kwake kule karibu na Gongo la Mboto na taulo kiunoni anazinyaka taarifa za kuchafuliiwa na Dkt. Kigwa. Haraka anaamua kuandika jumbe kupitia status yake zikimjibu Dkt. Kigwa.
Sijafuatilia kujua kama Dkt. Kigwa amejibu au la? Mwenye no za simu za Kigwangalla aangalie status naona kama wanarushiana vijembe. Ealai tungekuwa na Wanahabari makini hii ilikuwa Tipu nzuri unawaalika wote Hawa unawapiga kitimoto kudadeki ukweli unajulikana.
Je, Jamhuri ilichangia Dkt. Kigwa kupoteza Uwaziri wake kwa kumwandika ya kuwa alipanda ndege na msanii mmoja wa kike na kwenda kumtafunia huko ng'ambo?
Rai Kwa Dkt. Kigwa, vua nguo uoge utatakata (jitokeze hadharani sio majungu majungu vibarazani utabakia na uchafu). Waitu Ta Balile hii vita ni ngumu ularebage!