Kwenye vita hii natoa tahadhari kwa Balile, Kigwangalla vua nguo uoge ili utakate

Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,

Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.

Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa Rais Ili ajipatie umaarufu. Dkt. Kigwa anapambana kujisafisha kwa wabunge wenzake kwa kumchafua Balile, nasikia anaenda mbali zaidi anadai Balile ni mabaki ya Mwendazake hafai kusikilizwa hata kidgo.

Nae ya Balile akiwa nyumbani kwake kule karibu na Gongo la Mboto na taulo kiunoni anazinyaka taarifa za kuchafuliiwa na Dkt. Kigwa. Haraka anaamua kuandika jumbe kupitia status yake zikimjibu Dkt. Kigwa.

Sijafuatilia kujua kama Dkt. Kigwa amejibu au la? Mwenye no za simu za Kigwangalla aangalie status naona kama wanarushiana vijembe. Ealai tungekuwa na Wanahabari makini hii ilikuwa Tipu nzuri unawaalika wote Hawa unawapiga kitimoto kudadeki ukweli unajulikana.

Je, Jamhuri ilichangia Dkt. Kigwa kupoteza Uwaziri wake kwa kumwandika ya kuwa alipanda ndege na msanii mmoja wa kike na kwenda kumtafunia huko ng'ambo?

Rai Kwa Dkt. Kigwa, vua nguo uoge utatakata (jitokeze hadharani sio majungu majungu vibarazani utabakia na uchafu). Waitu Ta Balile hii vita ni ngumu ularebage!

View attachment 2461005View attachment 2461006
Yote haya ni matokeo ya mtu mmoja kuwa na mamlaka kuteua mawaziri, ifika wakati mawaziri waombe kazi na wachaguliwe na wananchi na kuondolewa na wananchi
 
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,

Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.

Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa Rais Ili ajipatie umaarufu. Dkt. Kigwa anapambana kujisafisha kwa wabunge wenzake kwa kumchafua Balile, nasikia anaenda mbali zaidi anadai Balile ni mabaki ya Mwendazake hafai kusikilizwa hata kidgo.

Nae ya Balile akiwa nyumbani kwake kule karibu na Gongo la Mboto na taulo kiunoni anazinyaka taarifa za kuchafuliiwa na Dkt. Kigwa. Haraka anaamua kuandika jumbe kupitia status yake zikimjibu Dkt. Kigwa.

Sijafuatilia kujua kama Dkt. Kigwa amejibu au la? Mwenye no za simu za Kigwangalla aangalie status naona kama wanarushiana vijembe. Ealai tungekuwa na Wanahabari makini hii ilikuwa Tipu nzuri unawaalika wote Hawa unawapiga kitimoto kudadeki ukweli unajulikana.

Je, Jamhuri ilichangia Dkt. Kigwa kupoteza Uwaziri wake kwa kumwandika ya kuwa alipanda ndege na msanii mmoja wa kike na kwenda kumtafunia huko ng'ambo?

Rai Kwa Dkt. Kigwa, vua nguo uoge utatakata (jitokeze hadharani sio majungu majungu vibarazani utabakia na uchafu). Waitu Ta Balile hii vita ni ngumu ularebage!

View attachment 2461005View attachment 2461006
Kigwangalla ni takataka tu. Sijui Magufuli aliona nini mpaka akampa uwaziri
 
Huyu ni Mataga sasa mshauri wa wapinzani[emoji16]
Hizi drama husaidia kuwa keep busy wapinzani na kuua ajenda za maana. CCM kazi yao ni kupost picha then wapinzani ndio hutoa captions. Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, zimeshajifia!

Usishangae miaka yote kuna nchi hujakubeba some CCM elites kuongoza mipango ya kushinda uchaguzi. CCM haiwezi kutolewa na wapinzani nje ya wao wenyewe kupasuka na kuipasua dola kama ilivyokuwa kwa Lowasa. Kama Lowasa angeendeleza ile vita bila kuhama chama angeipasua CCM.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Balile (Walikula) ni Kyoma? Mmgh..jamaa kavu kishenzi ahahahah, yaani alikaza sura hadi VP akaogopa!

Nshomilesi bojo mbeija ukunonkya olamanya tata!
 
..hizo familia 12 ndio zimeharibu bonde lote la Ihefu?

..Balile alisema bonde la Ihefu lilikuwa square km 84 sasa limebaki kuwa square km 10.

..siamini kama eneo lote hilo limeharibiwa na hizo familia 12 peke yao.

..Tujadili suala hili kwa mapana. Tuulize maswali magumu. Tushinikize serikali ichukue hatua haraka.
Inawezekana kabisa. Hizo sq km 74 walizochukua ni hekari 18,000+ kila familia ina kama ekari 1,500. Hilo si eneo kubwa kwa watu walafi kushindwa kujimilikisha.
 
"Kigwangalla was a vocal defender of the Tanzanian government, In an April 2017 interview with BuzzFeed News while serving as deputy health minister, he said he supported the use of anal exams to judge whether someone has had gay sex, despite it being widely considered by medical experts to be a violation of human rights.[6][7]"
 
Back
Top Bottom