Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

Mpiga punyeto yeyote lazima awe na jina mahaba,kwahyo ni bora tu alivyoombewa.
 
Mtu anayepiga puli ni kichaa maana haiwezekani mademu wapo we unakazana kujisugua na mikono,unakuta mtu mikono migumu kazi yake ni ya zege halafu mikono hyo hyo anapigia puli[emoji23][emoji23]
Hiyo kitu ikikolea hakuna mwanamke anayeweza kuiondoa.hata uwe nao 100.Hiyo nikwasababu pull ni tamu kuliko mwanamke,nanikwasababu unakua unajifanyia mwenyewe vile ambavyo unaona unajisikia.Sasa ukishazoea hivyo wanawake utaona hawakufikishi vile unavyojifikisha.
 
Kama hamujachajiwa hata Senti kwenye hayo maombi kuanzia sasa sitawasema vibaya manabii wa Afrika ambao ninawaita matapeli wa Lucifer walioruhusiwa kutumia jina la Yesu ili kupanda mbegu za jehanamu ndani ya watu.
Maana mtu yeyote akikuchaji hata sh mia moja tu ili akupe huduma ya kiroho huyo ni tapeli, mshenzi, mzinzi na ataishia jehanamu.
Yesu alisema toeni bure. Tena aliwaambia pozeni wagonjwa, fufueni wafu.
Imagine hata kufufua mtu aliyekufa huhitaji senti ya mtu
 
Tatizo kwenye pull unavuta hisia ya pisi unayoitaka wewe hata uwoya unaweza mzagamua.
Na hata kipimo cha Mbunye unaweka kwa size unayotaka! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini.

Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa mashariki. Wachache wakitoa UK na kijana mmoja toka USA mwenye asili ya Afrika.

Pale kila mtu anakuwa na bango akiwa ameandika matatizo yake anayotaka aombewe. Kwa hiyo unaweza kuona shida za mwenzio. Basi mnakaa mstari mnaanza kuombewa uponyaji kwa jina la Yesu.

Nikabahatika kuona bango la kijana mwenzangu mmoja. Yeye aliandika tatizo moja tu, kwamba Excessive Mastabation yaani ana shida ya kupiga puli kuliko kawaida.

Mwanzo niliona kama huyu jamaa anataka kuleta masikhara. Alipofikiwa na Nabii ikabidi kwanza ahojiwe kabla ya kuombewa. Hapo ndio nikapata uelewa kumbe puli ni tatizo serious sana kwa vijana na mabroo. Jamaa anasema anaweza kupiga puli hata mara 5 kwa siku. Kuna wakati anaweza kuwa kazini, akipata hisia anaenda washroom na simu anachukua porno anapiga puli.

Basi Nabii akamuombea sana, sijui kama alipona hiyo hali au lah.
uraibu wa punyeto ili ukome,
ikiwa ni kwa maombi na maombezi basi ni lazima ya aambatane na kuandamani na ushauri nasaha, kazi nyingi au mazoezi ya kuchosha sana mwili na hapo ni lazima uwe chini ya uangalizi maalum ikiwa ni pamoja na kupewa likizo ya kutumia computer, simu rukhsa ila ni sharti iwe kiswaswadu 🐒

ukienda washroom bas kutakua na muangalizi nje akiwa anakusubiria ukizidisha dk3 lazima ugongewe wakucheki unafanya nini 🐒

maana pepo la uasherati wa punyeto lina nguvu ya ajabu ni jepesi sana kuchukua sheriakononi 🐒

Pamoja na hayo yote,
Ni kwa neema na baraka za Mungu yote yanawezekana 🐒
 
Back
Top Bottom