Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

Mpiga punyeto yeyote lazima awe na jina mahaba,kwahyo ni bora tu alivyoombewa.
 
Mtu anayepiga puli ni kichaa maana haiwezekani mademu wapo we unakazana kujisugua na mikono,unakuta mtu mikono migumu kazi yake ni ya zege halafu mikono hyo hyo anapigia puli[emoji23][emoji23]
Hiyo kitu ikikolea hakuna mwanamke anayeweza kuiondoa.hata uwe nao 100.Hiyo nikwasababu pull ni tamu kuliko mwanamke,nanikwasababu unakua unajifanyia mwenyewe vile ambavyo unaona unajisikia.Sasa ukishazoea hivyo wanawake utaona hawakufikishi vile unavyojifikisha.
 
Kama hamujachajiwa hata Senti kwenye hayo maombi kuanzia sasa sitawasema vibaya manabii wa Afrika ambao ninawaita matapeli wa Lucifer walioruhusiwa kutumia jina la Yesu ili kupanda mbegu za jehanamu ndani ya watu.
Maana mtu yeyote akikuchaji hata sh mia moja tu ili akupe huduma ya kiroho huyo ni tapeli, mshenzi, mzinzi na ataishia jehanamu.
Yesu alisema toeni bure. Tena aliwaambia pozeni wagonjwa, fufueni wafu.
Imagine hata kufufua mtu aliyekufa huhitaji senti ya mtu
 
Tatizo kwenye pull unavuta hisia ya pisi unayoitaka wewe hata uwoya unaweza mzagamua.
Na hata kipimo cha Mbunye unaweka kwa size unayotaka! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
uraibu wa punyeto ili ukome,
ikiwa ni kwa maombi na maombezi basi ni lazima ya aambatane na kuandamani na ushauri nasaha, kazi nyingi au mazoezi ya kuchosha sana mwili na hapo ni lazima uwe chini ya uangalizi maalum ikiwa ni pamoja na kupewa likizo ya kutumia computer, simu rukhsa ila ni sharti iwe kiswaswadu πŸ’

ukienda washroom bas kutakua na muangalizi nje akiwa anakusubiria ukizidisha dk3 lazima ugongewe wakucheki unafanya nini πŸ’

maana pepo la uasherati wa punyeto lina nguvu ya ajabu ni jepesi sana kuchukua sheriakononi πŸ’

Pamoja na hayo yote,
Ni kwa neema na baraka za Mungu yote yanawezekana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…