Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa

Hahahaha haya mkuu mambo ya payroll yanafanya kazi mtu kesha kamata mzigo tayari.
 

Haha haaa ,


Kwa hiyo sasa hii ndio new spin ambayo inatoka kwa fisadi Mwakalinga. Anajaribu kutafuta huruma ya wanabodi kwa vile tu alifiwa na mdogo wake?

Na hiyo ya kumleta Ridhiwani mtasemaje? alikuwa anakuja kutoa pole?
 
Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa

ha ha ha hahaha ... kweli kabisa. Nimekumbuka mvua za Thailand alizoahidi Lowasa. Kumbe yalikuwa yanaelekea huku. Lowasa alete mvua toka kwa wachawi wa Thailand, kisha mvua ilete maji, maji yazalishe umeme, ambao utatumika kupower Laptop za kifisadi za George Mwakalinga.
 
Mi wala simjui huyo Mwakalinga wewe umesema Nsesi ni Mwaky tuomba uthibitisho wake lasivyo sheria ichukue mkondo wake.

Nsesi ndo huyo huyo kwani wewe unajifanya hujuhi?
 
Kwani lazima agombee Kyela tu hakuna majimbo mengine Mbeya? Au huko hauziki?
Swali lako la pili ndio jibu lakini pili tayari kuna mtaji wa kundi la Mwakipesile ndani ya CCM Kyela ambalo automatically kuelekea 2010 litakuwa la Mwakalinga. japo hiyo advantage pia inabeba risk kubwa sana kisiasa, ambapo itamlazimu kuelekea kwa wananchi wa kawaida kwanza kupambana na nguvu ya Mwakyembe lakini pia kupambana na kivuli cha Mwakipesile(na kisiasa ataunganishwa na RA& EL kutokana na mapambano ya Mwakyembe Bungeni) na hii ni hatari kubwa sana kwake kwenye mahakama za umma zisizohitaji ushahidi wa maandishi na hii inaweza ikamharibia kabisa image yake na kupoteza kabisa future yake ktk siasa za Mbeya.
 
Kwani lazima agombee Kyela tu hakuna majimbo mengine Mbeya? Au huko hauziki?

Swali lako la pili ndio jibu lakini pili tayari kuna mtaji wa kundi la Mwakipesile ndani ya CCM Kyela ambalo automatically kuelekea 2010 litakuwa la Mwakalinga. japo hiyo advantage pia inabeba risk kubwa sana kisiasa, ambapo itamlazimu kuelekea kwa wananchi wa kawaida kwanza kupambana na nguvu ya Mwakyembe lakini pia kupambana na kivuli cha Mwakipesile(na kisiasa ataunganishwa na RA& EL kutokana na mapambano ya Mwakyembe Bungeni) na hii ni hatari kubwa sana kwake kwenye mahakama za umma zisizohitaji ushahidi wa maandishi na hii inaweza ikamharibia kabisa image yake na kupoteza kabisa future yake ktk siasa za Mbeya.
 
Laptop za kutumia umeme wa mvua ya Thailand zitaanza kazi lini?

zimefeli hizo mvua ,maana saizi tunategemea umeme wa upepo kutoka singida na wawekezaji nao wame buma balaa tupu
 
Kwa sababu ni makosa na kinyume cha sheria za JF kutangaza ID za watu. Au kwa vile George Mwakalinga ni mwanzilishi wa JF basi unadhani kuwa una haki ya kutaja ID za watu hapa?

sio mwanzilishi tu bali pia ni mdhamini.mfuko wake uko wazi kuichangia JF ili wewe uje kutumia huduma ya bure.elimu yake ya Computer ndio iliyotuletea starehe hii JF.

akitajwa Mwakyembe mnakuja juu nyinyi nani aliyewapa authority ya kumtaja mh.Mwakalinga kwa ID yake?

ama kweli binadamu hatuna shukrani tuko kwenye jamvi la Mwakalinga na kupitia jamvi lake tunamtukana. unafikiri JF mwanzilishi wake ni Mwakyembe? ama kweli wewe huna adabu kabisa unakula matunda ya Mheshimiwa Mwakalinga na unatumia platform aliyoiasisi kwa manufaa ya watanzania kumtukana. ingekuwa JF tunalipa membership fee wewe usingekuwepo hapa.

Hongera Mheshimiwa Mwakalinga kazi ulizotufanyia JF na ulizowafanyia wana Kyela tunalazimika kukuita Mheshimiwa Mbunge hata kabla ya 2010 kutinga rasmi Dodoma.

ni fahari kwetu sisi wa
na Jamii Forums kuona mwenzetu anatuwakilisha bungeni wenye wivu mnaweza kula sumu maana kamba inachelewesha kifo.
 

Mbona hii connection ya Lowasa na Rostam kaishaifanya mwenyewe Mwakalinga hapa kupitia kwa wasemaji wake kina Kanda2.

Mpango uko hivi,

1. Lowasa alikwenda Thailand kuomba utaalamu wa kutengeneza mvua
2. Mvua hiyo itatumika kuzalisha umeme.
3. Mafisadi Rostam na Ridhiwani Kikwete watanunua laptop
4. Laptop hizo zitatumia umeme wa mvua ya Thailand


5. Mengine yote ni ushindi wa kishindo mpaka idodomya
 

Sikonge

Wakati mwingine waniacha hoi sana, ama ni Laptop kutoka kwa mweka hazina wa Tanzanet na mtaalamu wa IT? Aliyeishi miaka 18 ughaibuni. Hata basics unasahau mkubwa wangu? Hivi hujui kutoka UK kama yeye hana passport ya GB anahitaji visa kwenda Deutchland? Kule Monduli hahitaji taratibu za uhamiaji kuonana na Mamvi. Naona hili linawakera sana mara kaenda kuona mke wa marehemu shemejie mara sijui nini bla bla bla tu...anafadhiliwa na RA, EL na Mwakipesile full stop.

Ndugu yangu waachie wanaKyela wewe njoo tule asali ,matobolwa, na masangu ila nasikia umegele mwaka huu haukuwa mwingi.
 

Wewe unacheza kweli. Katika mambo ya mitandao na forums, mwanzilishi huwa hapewi bureki. Kama ulikuwepo enzi za Bs times, utakumbuka kuwa ccm ilikuwa inapewa vidonge vyake bila kujali kuwa mwanzilishi wake ni mwanaccm.

BTW ... hakuna hata sehemu moja ambako nimemtaja Mwakalinga kwa id yake ya hapa JF. waliomtaja wanajulikana na wao walidhani kuwa wakitaja ID yake basi wana JF wote tutafyata mkia na kutandika zulia jekundu ili Mwakalinga apite.

Hii ni JF baba, hapa halazwi mtu, sio Kikwete wala Mbowe.

Mwakalinga na ufisadi wake huo atapata free pass kwenye magazeti ya fisadi Rostam Azizi ila sio hapa JF.
 

H aha ha ha Masanilo leo unanichekesha sana.

Richmonduli anajua kabisa kuwa angetokezea ulaya tu angetiwa kibano na baadhi ya watanzania wenye uchungu na mali zao kwa hiyo akaamua kutuma mwaliko maalumu kwa Mwakalinga.

Hizo laptop theme naona inakechi faya. ha ha ha haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…