Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Jamani ndugu zangu tuliosoma ng'ambo na kufanya kazi kwa "muda mrefu ngambo" tuache hii tabia ya kutumia vigezo hivyo hapo viwili kutafuta vyeo tanzania!

Kusoma ng'ambo kunatupa exposure tu,na kufikiria vitu katika "dimensions" au mionekano tofauti na mingi zaidi kuliko wale waliosoma TZ.hakutupi sifa za kuwa viongozi,ila tunaweza kutumia advantage hiyo kuchangia maendeleo ya sehemu tulizotoka,either kwa ushauri au "consultancy".

kufanya kazi ng'ambo hakutuongezei sifa zozote za kiuongozi,may be zinatupa humility na creativity kazini as well as discipline.Lakini sio sifa za kuwa kiongozi.

mbali na mambo mengine,Kiongozi anatakiwa aweze toa maamuzi critical,anatakiwa awe amekuwa challenged kwenye lower positions and passed with flying colours.sifa hizi hazina uhusiano wowote na mtu kusoma/kufanya kazi nje.

kufanya kazi nje "kwa muda mrefu" hakumaanishi tulipo ni viongozi,wengi wetu ni wataalam tuliobobea kwenye nyanja zetu tulizokuwepo.iwe uinjinia,udaktari,au urubani lakini "hell NO" it doesnt add anything to us being GOOD LEADERS.

makampuni mengi tunayeyofanyia kazi ni large enterprises that are driven by a system.(fikiria urahisi wa kuendesha manual na automatic car).hawahitaji an inteligent Tanzanian to help them run their management.they need our expertise!and we usually give it.kama kunamtanzania yupo kwenye board of any recognisable company in the world na atajwe!au kama kuna mtanzania aliyekuwepo kwenye management ya kampuni yoyote kubwa duniani na asemwe.probably hakuna!na kama yupo sidhani kama kugombea ubunge kuko kwenye cards zake hivi sasa!!

wengi wetu tuko-stuck kwenye cubicles!we do what we do best but we are in no way leaders where we are.

Ni vizuri kama tunataka kuleta maendeleo tanzania tulete utaalamu wetu,sio uongozi uchwara tusiokuwa nao!

kyela,biharamulo,njombe,lindi etc will be better of with expertise we have acquired rather than the empty promises and gifts we are going to lavish them with on our way to the maiden TZ parliament where all greed people's dreams comes true.

wito kwa watanzania tuliosoma na tunaofanya kazi ng'ambo.TURUDI tanzania kwanza,tupeleke ujuzi wetu kabla ya kufikiria
 
kuna tetesi za zimefika hivi punde kuwa huyu bwana mwakalinga katumwa na kapewa pesa ya kutosha na kina Kikwete,Lowasa na Rostamu ,Mwakipesile na Mafisadi wengine walioaibishawa katika ripoti ya Mwakyembe kwa kweli mtandao ni mkubwa na bwana Mwakyembe ataponea kudra za Mungu na uelewa wa wanakyela.Nasikia hawatamani kumuona Mwakyembe akipumua.Ukijali maslahi ya taifa hakuna wakumfikia Mwakyembe na ukiangalia sera kuu za huyu bwana ni kuhusu wafanyakazi wa mgodi wa kiwira.Kwa mtu mwenye akili timamu angeharakisha kufikiri kuwa mchawi wa kiwira ni Mkapa na yona hata hivyo kapiga kelele nyingi sana kuhusu kiwira lakini kama tujuavyo hakuna asiyejua serikali ya kikwete ilivyofanya madudu.Kiukweli huyu mwakalinga hawezi kujivunia.
 
Sio ya Mwakalinga bana... ya Mwakalinga ni uongo ile ya FD

Usiwe sensitive hivyo mwanawane....gangamala....kwani Fikiraduni ni jina lako la kweli? Mbona Kitila Mkumbo alikuwa anajiita Mwanasiasa...na hana shobo ukimwita Mwanasiasa...
 

Haya maelezo kama hayajatoka kwa Mwakalinga mwenyewe, kwa nini yaaminiwe kuwa ya kweli ingawa yanaonesha kuandikwa na mtu mwenye ufahamu mkubwa wa kilichotokea.

Kama wewe mtanzania sio Mwakalinga, basi kila unachoandika hapa si cha kweli na lazima kichukuliwe kama hear say zingine tu hadi hapo kitakapothibitishwa na sources zingine.
 


Na wewe umetumwa na Mwakyembe. Nyie ndo mnaamini kuwa kiongozi LAZIMA ADUMU MILELE!. Kubalini kuwa lazima watu wapishane uongozi.

No wonder nchi za Africa haziendelei kwa kuwa tuna watu wenye MAWAZO MGANDO wasiotaka mabadiliko hata kama zina maslahi ya umma!.

Miaka kumi inatosha inabidi wengine wachukue madaraka.
 


Maelezo niliyoyawekea rangi yanaonyesha Mwakalinga na Mtanzania is one and the same.
 

Angalieni, hiyo ndio strategy yenyewe.

Kwa Kyela watu wanajua ukweli. Hii ni strategy ya kutokea ili akishindwa aje aseme ni mafisadi ndio wamemuondoa.

Onyesheni hizo pesa alizopewa Mwakalinga ziko wapi? Ile miradi yake anayojenga tokea miaka ya 90 pesa alipewa na nani?

Hii ndio itakuwa inajitokeza siku hadi siku kwa majina tofauti. Kuna watu wameandaliwa hapa kwa hilo lakini wanajisumbua bure. George ni smart kuweza kujua hizi njama.
 
Mimi sikuwa na hili wala lile, nimerudi mjini hiyo Ijumaa usiku ndio naambiwa mtoto wa JK hajafika kwasababu mheshimiwa mmoja katia fitina.
Kuna bank walitaka kufungua branch pale kwa Mwakalinga, mhusika huyo huyo akaenda kutumia undungu na mtoa maamuzi ili kuzuia.
Dogo Mwakalinga, in JF we dare talk openly...sasa mbona unakuja na kama majungu utatufaa kweli kwenye mjengo? Unachuki na huyo mh mmoja asiye na jina!
 
Dogo Mwakalinga, in JF we dare talk openly...sasa mbona unakuja na kama majungu utatufaa kweli kwenye mjengo? Unachuki na huyo mh mmoja asiye na jina!


Sasa hutaki aseme anachojua jamani?

Duh! nimejichokea ngoja nikalale kidogo
 
Duh!! Umetinga mwenyewe hapa? Haya tueleze ni kweli ama unakanusha ? Sema maana uko online .
 
 

Mwafrika,

Kama unaweza omba namba za viongozi wa umoja wa vijana Mbeya wala sio Kyela na pata maelezo yao. Au tumia njia zako zingine na utapata tu ukweli maana hili jambo watu wengi wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…