Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Acha kujipendekeza. Sipendi mabinti wa kiume mimi...umesikia kadogoo? Hapa ni mashuti mtindo mmoja
 
Hii mijitu iliyosoma kwenye nchi za kikomunisti ni mitupu sana. Utakuta jitu limesoma masters na phd Bulgaria au Yugoslavia lakini linajiona li intellectual flani...aaah yanaboa sana haya majitu

Mijitu yenye wivu utaiona tu. Sema Mwakalinga hajasoma au hana uwezo ndio maana ni mtaalam UK. Watu wana Ph.D za West na bado wanabeba box ndio awe mtu aliye kwenye professional job Europe kwa miaka yote hiyo?

Mnaonea wivu CV ya Mwakalinga, tena wivu wa kike,aibu kweli kweli.
 
Ukweli unauma....Lol
 
Utakuwa mmoja wao wewe. Enhee hebu tuambie umesomea wapi? Bulgaria, Romania? au Chekoslovakia?
 
Dawa ni kukaa kimya na kujipanga kusubiri hiyo 2010...Tatizo George kaanza mapema sana na kaingia kwa spidi kali mno,awe tayari kukabiliana na yote yatakayoongewa juu yake(zikiwemo hizi tuhuma za kwamba katumwa na mafisadi),,,,,,,
Balantanda,
Najua unaishi dunia ya miaka 2000 iliyopita ndg yangu.

George kachelewa, wenzie walianza 2006. Wee karaga bao, utakuja kuchelewa hata siku ya kufa.

kgwamaka
 
Utakuwa mmoja wao wewe. Enhee hebu tuambie umesomea wapi? Bulgaria, Romania? au Chekoslovakia?

Mimi ningesoma hata Kosovo ningefurahi; unaelewa maana ya kusomea Dar Tech bila vifaa na mlo wa uhakika?

Furahisheni genge hivyo hivyo ila lazima mujue vijana wengi leo wangefurahi kupata shule ya maana hata Romania.

Mnajifanya mnacheka hapa kumbe roho zenu zinawauma kwa wivu.
 
Eti Dar Tech...hebu acha matani bana. Hivi hiyo nayo unaihesabu kuwa ni shule?
 
Balantanda,
Najua unaishi dunia ya miaka 2000 iliyopita ndg yangu.

George kachelewa, wenzie walianza 2006. Wee karaga bao, utakuja kuchelewa hata siku ya kufa.

kgwamaka
Nashukuru kaka wewe unayeishi Dunia ya sasa..Ni uashauri tu nilikuwa nautoa kwa ndugu yangu George,so ni hiari yake kuufuata ama la..Ligi za nini mkuu???.Angalia msije mkamharibia George na post zenu hizi,kimsingi mnawapa faida wapinzani wenu tu...
 
Eti Dar Tech...hebu acha matani bana. Hivi hiyo nayo unaihesabu kuwa ni shule?

Ninalisha familia kwa ujuzi wa Dar Tech, sasa wewe mwenzetu mwenye elimu kubwa umefanya nini? Si ajabu hata mamako bado anaishi kwenye pagala kule kijijini kwenu ulikotoka ambako sasa hata kupita unaogopa.
 
Endelea kulisha familia yako....don't about me
 
Nashukuru kaka wewe unayeishi Dunia ya sasa..Ni uashauri tu nilikuwa nautoa kwa ndugu yangu George,so ni hiari yake kuufuata ama la..Ligi za nini mkuu???.Angalia msije mkamharibia George na post zenu hizi,kimsingi mnawapa faida wapinzani wenu tu...
Aah!!! Kumbe ulikuwa unashauri?

Lakini ujumbe wako hauonyeshi kushauri bali unaonyesha tatizo la kuanza kampeni mapema.

Kwa taarifa yako, kampeni hapa zimeanza muda mrefu na George kachelewa.

Uliona Waziri mkuu PINDA alivyompigia debe Prof. Magembe jimboni kwake?

Malecela na mke wake Anna jana walivyofanya kampeni za wazi wazi?

Uliona viti bungeni vilikuwa tupu kwenye kikao cha bajeti, wengine walikuwa wapi?

Akifanya George mnakuja juu, au kwa sababu sio Mbunge?
Kgwamaka
 
Hakuna aliyekuzuia kufanya kampeni na kuwa msemaji wa George bwana,jazba za nini aisee...Fanya kampeni uwezavyo,ili mfanye kwa stepu aisee msije mkaachiwa MANYOYA....
 
Mtanzania,

Nilidhani kuwa mimi na timu yako tumemalizana jana lakini bado unanifuata kwa madai makubwa (nikitumia maneno yako - bila ushahidi) na ya ajabu kama haya. Tafadhali sana thibitisha madai yako kuwa natumia username tofauti (sijui na ipi) au uniniombe radhi mkuu.

Hii issue ya ubunge naona imeanza kuwachanganya sana. Sijui nani aliwadanganya kuwa mtaingia kwenye siasa na msikutane na maswali magumu toka kwa wananchi.

Siasa sio taarabu. Kuna mtaalamu mmoja kasema kuwa siasa ni (lazima iwe) contact sport - kama ilivyo football ya wamarekani. Sasa nyie kuulizwa maswali kidogo naona mmepaniki sana hadi mnatia huruma.

Narudia tena kukutaka uthibitishe madai yako hapo juu au sivyo invisible aingilie kati hapa.

Asante!
 
Hakuna aliyekuzuia kufanya kampeni na kuwa msemaji wa George bwana,jazba za nini aisee...Fanya kampeni uwezavyo,ili mfanye kwa stepu aisee msije mkaachiwa MANYOYA....
Nakubali mkuu, mimi ndio mwenyewe, unataka nikugawie bango moja la kampeni ubebe na wewe?
Kumbe upendi, basi tutafanya kampeni hadi dunia igeuke, na jamaa yako tutampiga chini kama chaguzi zilizopita za jumuiya.
 
Baelezee hao,yaani wao mtu akicomment kuhusu wao wanakuja juu mara ooh umetumwa na Mwakyembe,mara sijui M-Mbeya,mara mbona sjui Malecela na mkewe wanafanya hivi..Kwa mtindo huu hammtafika mbali ndugu zangu,kubalini pale mnapokosolewa na yapokeeni yale mnayoshauriwa(hata kama mnajiona mmjipanga/mmejiandaa vya kutosha)...Mkiendelea hivi hata hizo kura za maoni mtazisikia kwenye bomba...Hope sio wageni na Siasa za Bongoland...Ni hayo tu...Pa1
 
Mtanzania, najua unasoma hapa.

Nakupa nafasi nyingine ya kuja nje msafi (come out clean) kwenye hili.

10
9
8
 
Nakubali mkuu, mimi ndio mwenyewe, unataka nikugawie bango moja la kampeni ubebe na wewe?
Kumbe upendi, basi tutafanya kampeni hadi dunia igeuke, na jamaa yako tutampiga chini kama chaguzi zilizopita za jumuiya.

Kwi kwi kwi Mwaka 2010 Osama atakuwa Papa wa RC kule Roma, na kule Kyela Mwakalinga atakuwa Mbunge.....
 
Hili swala halikutakiwa kuwa zito namna hii kwa upande wao kama wangeishi na kutumia kipimo kile kile kinachotumika kwa wanasiasa wote Tanzania.

Mtanzania amekuwa mwanachama hapa na kwenye mitandao kwa muda mrefu sana (Ulisikia walisema kuwa yeye ni mwanzilishi wa JF na pia alikuwa mhazini wa Tanzanet). Anajua namna gani siasa za Tanzania na za kwenye mitandao zinaendeshwa.

Badala ya kutumia uzoefu wake kufanya mambo vizuri (kwa upande wake), yeye akaanza kushambulia watu wanaouliza nia yake ya kugombea ubunge na kulalamika kuwa anaonewa na wawakilishi wa Mwakyembe.

Ingemchukua muda kidogo tu kujua kuwa mtu kama mimi sio tu sijawahi hata kuwa mshabiki wa mwanaccm yeyote wa Mbeya (let alone Mwakyembe), bali pia ni kuwa, nimeweka wazi hapa upinzani wangu kwa CCM over and over again.

Kampeni hii ikiendelea kuendeshwa hivi, ..... sijui nini kitafuatia mbele kama watu wenyewe wanaonekana kuwa na hasira na visasi kabla hata ya kupewa madaraka. Inaonekana timu Mwakalinga wakipewa nchi basi kina Slaa na wenzake wataishia Keko ndani ya muda mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…