Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM


- Strong!

Respect.


FMEs!
 

Mshikaji kubali uliuliza mambo ambayo yalishajadiliwa. Kwa ufupi ULIBOA. Swali lako sio kama ilikuwa mbaya ila ilishaulizwa.

Acha longolongo kubali tuendelee. Ila unaboa kurudisha watu nyuma halafu we mwenyewe HUJIELEWI!!
 

Mheshimiwa Mtanzania aka Mwakalinga, kwanza nakushukuru kwani umejibu bila lugha ya Kejeli wala matusi. nakutakia kampeni njema, na endelea kujibu hoja hasa zile unazoona zinafaa, kumbuka ni haki ya mpiga kura kupata ukweli.

Viongozi wa leo ni wale ambao wapo tayari kujibu na kusikiliza wanayoyapenda na yale wasiyoyapenda.
 

Asante mheshimiwa, kwani imeandikwa mwisho wa busara ndio mwanzo wa matusi na kejeli, na hili ndilo lilojenga kwa viongozi wengi ambao upeo wao ni mdogo. kumbuka mazingira ya elimu wengi waliyokulia ni yale ya prof. ni sahihi na ikitokea mwanafuzi akaonyesha uwezo prof. anaona kama anamuumbua na kutengeneza uhasama. Ila kwa maprofesa ambao wanatunga vitabu na kujua kwamba dunia imejaa info ambazo sio rahisi mtu mmoja kuwa nazo zote wakikumbana na maswali mazito ama ambayo hawana majibu huomba kurudi na jibu baada ya kufanya utafiti, vilevile kwa sababu ya ustaarabu kuna maneno mengi watu wastaarabu huwa hawayatumii.

Ila kikomo cha kufikiri ni mwanzo wa matusi, na mwisho wa hekima ni mwqanzo wa upumbavu. Ila naomba tujengane kwenye misingi ya hekima na busara huku tukiwa tayari kusikiza hoja huru.

Bill Clinton aliwahi kusema hata wale wanaonipinga wananifunza kwani ndio mwanzo wa ujuzi.

naomba tukosane na kujibizana kwa hoja ili tujenge kizazi chenye kuheshimiana na kupingana bila kugombana.
 

Kinepi_nepi,

Tangu hii makala ianze, tumekuwa tukijibu shutuma za kumshambulia Mwakalinga ambazo nyingi hazina hata maana. Mtu anakashifu hata nchi ya Poland aliposomea na wakati huo, kiuchumi ukweli ni kuwa Poland iko mbali saaana kuzidi Tanzania, ni member wa European Union, NATO na ni moja ya nchi chache sana DUNIANI ambazo hazikuathirika sana na HOMA ya Uchumi. Hata shule aliyosomea Mwakalinga, kwa sasa iko kwenye nafasi kama ya 600 katika listi ya Vyuo 4,000 bora duniani.
Ilifika muda sasa tukaanza kutumia Newton's Law of Motions. Mtu akiuliza kistaarabu kama ulivyoandika, hata kama unarudia, tutakujibu na kukuelewesha. Ila akiuliza na kuanza kutoa kashfa kama wewe mwanzo kuwa umesoma between the line na vitu vingine, hapo tulikuwa tunamjibu sawasawa na UPUUZI wake alioulizia. "In Every reaction, there's equal and oposite reaction".Kwa hiyo hapa usitulaumu sisi ila imebidi tuwe tunajibu watu kwa namna hiyo.

Sijui kama wafahamu kuwa mtu kama Kanda2 na Mwafrika ni mtu mmoja? Kibaya zaidi ni kuwa anamfahamu sana Mwakalinga na anafahamu wazi kabisa kuwa Lowassa alikuwa Dodoma bungeni wakati Mwakalinga yuk Arusha kutalii. Ila anakuja hapa kusema kuwa Mwakalinga alikutana na Lowassa Arusha.
Hapo wanakuja sasa WATANI wa kwenye JF. Masanilo, Yo Yo, na Nyani Ngabu ambao wao kila mtu anafahamu kuwa si wa kusikilizwa sana maana utani na wao ni DUGU MOJA.
Nimekujibu hivi kukuonyesha tu kuwa "sisi ni watu na BUSARA zetu". Ila twaweza kuzitumia hizo busara katika kujadili, kusilibana, vijembe, kashfa, kuvuruga thread nk. Sijui kama utakuwa umetuelewa. I hope yes.
Tuendelee kujadiliana bila KUPAKANA matope na wala bila ya kuoneana AIBU pale mtu anapokosea. Ila Kuzuliana siyo vizuri hata kidogo.

Mungu Ibariki JF, Mungu ibariki Tanzania.
 
Last edited:
Hapo wanakuja sasa WATANI wa kwenye JF. Masanilo, Yo Yo, na Nyani Ngabu ambao wao kila mtu anafahamu kuwa si wa kusikilizwa sana maana utani na wao ni DUGU MOJA.
Point of interruption sir....! was serious and meant it Mtanzania ni zao la Ufisadi na ninarudia ametumwa na mtandao wa kifisadi kuchafua hali ya hewa kule Kyela. Fisadi's wapo wakutosha bungeni tusiongezee Mwakalinga bandugu. Mimi na wapiga kura wenzangu wa Kyela hatutokubali tutahakikisha Mh Dr Mwakyembe anarudi bungeni kwa kishindo. Maslahi ya taifa mbele ......Mwakyembe for life!
 

Uzuri ni kuwa Mwakalinga ananguvu za KIROHO. Ndiyo maana alipokuwa Arusha, aliweza kuongea na Lowassa aliyekuwa bungeni Dodoma na hapohapo akaweza kufungua kikao cha watu kibao huko Kyela na kuanza kutangaza kampeni zake.

Inabidi tu MZIFYATE maana huwezi kushindana na mtu anayekuwa sehemu TATU tofauti kwa nguvu ya KIROHO (maneno ya Malayfale) na wakati nyie hata hiyo moja tu hamuonekani.

Mwisho wee Mkuu Masanilo tumekuzoea. Hivi hata nyumbani kabla hujasalimia familia, huwa unaanza kwa utani nini? Yaani unatania hadi LAPUTOPU yako inacheka. Si nenda tu kajiunge na ile family ya Wayans?
 


Nice joke, well done.
 
Tumemaliza mkutano na mbunge wetu. Alikuwa mstaarabu sijawahi kumwona Dr akiwa hivi. Nampongeza sana kwa ustaarabu aliouonyesha leo.

Anasema spika alimpa pesa za kwenda kutibiwa ujerumani, itabidi tuombe risiti.

Ila kadanganya tu kwamba kaja leo asubuhi wakati wajanja wa mjini tunajua aliingia Tukuyu toka jumatano na walikuwa na vikao kadhaa kuandaa mkutano huu.

Kuanzia kesho kasema atapita kata zote. Hongera Mwakalinga kwa kumsaidia mbunge wetu aanze kuwajibika.

Richard Kirumbo ndio katoa mpya kwa kusema dr ni mbunge wa Muyaya kama alivyokuwa anaambiwa Banda.

Tunataka mikutano kama hii na sio vijembe vingi.
 

Hah hah hah,

chuo cha 600, yaani hii kambi ya Mwakalinga bwana!


Naona hapa umethibitisha maneno yangu kuwa kambi ya Mwakalinga imejaa watu wenye visasi kiasi kwamba wakipewa nchi au uongozi wowote Tanzania, wapinzani kama kina Slaa watajikuta jela chini ya Newton's law.


Invisible,

Hivi kwa Sikonge ameitisha watu kuchangia JF ndio maana anavunja sheria zako na za forum kwa makusudi bila kupata adhabu kama wengine?



Hah haha,

Umejibu kwa sababu timu yenu inahitaji kula (yes ile mipesa ya ubunge) na wala sio chochote kingine. Inachekesha kuona ukisema kuwa unataka watu waendelee kujadiliana huku ukitaka pia kuamua cha kujadiliwa (kwa kutumia connection yenu ya kuanzisha hii forum na kuichangia?).
 

Wakati timu Mwakalinga inalialia hapa kuwa watu wasiweke habari za kusikika tu, wao wanaendelea kuweka udaku na habari za uongo za mtu wanayetaka kumtoa kwenye ubunge.

Kumbuka waswahili walichosema kuhusu mkuke kwa nguruwe....
 

Mwafrika,

Ilikuwa NIKUJIBU Utumbo ila kwa kuwa nafahamu wewe ni nani ............
 
Wakati timu Mwakalinga inalialia hapa kuwa watu wasiweke habari za kusikika tu, wao wanaendelea kuweka udaku na habari za uongo za mtu wanayetaka kumtoa kwenye ubunge.

Kumbuka waswahili walichosema kuhusu mkuke kwa nguruwe....

Engineer,

Angalia sana KUJIBIZANA na Mwafrika. Nafikiri unaelewa nina maana gani.
 
Mwakalinga asifikirie kirahisi hivyo, kwamba yeye atakapopewa jimbo la Kyela anaweza kulibadilisha jimbo kwa kuleta maendeleo makubwa tofauti na mbunge aliyeko madarakani na hata waliomtangulia. Pamoja na kuwa kugombea ubunge ni haki yake ya kikatiba bado Mwakalinga hawezi kufika mahali pa kujidai kuwa yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kimaendeleo wilayani Kyela. Yeye kama Mwakalinga hawezi kufanya muujiza kama Mussa alivyotumia fimbo kufanya njia katika bahari ya Shamu au Mfalme Daudi alivyoweza Kuuwa jitu lenye Nguvu Nyingi liitwalo Goliath. Kwa maana hiyo basi asije akawa Goliath wa Kyela. Hata hivyo Mwakalinga asifike mahali pa kjitapa kuwa yeye ana uzoefu wa kuongoza, UZOEFU WAKE NI WA HUKO ULAYA na sio Tanzania na Afrika kwa ujumla.Bw. Mwakalinga asichukulie uepesi wa ktunnza fedha za kikundi cha watu wnao nia ktu kimoa ni sawa na kuongoza watu wenye mitizamo tofauti.
 

Mwakalinga hafikirii kirahisi hivyo.
 
- Saafi sana, mkuu tupo pamoja sana ilikuwa apewe uwaziri ila ni Lowassa ndiye aliyeng'oa jina lake dakika za mwisho, mnyonge mnyongeni.

- Otherwise, hoja zako ni nzito sana kwa machache ya huko Kyela ninayoyajua.

Respect.

FMEs!

Najua unachokifanya ila mimi watu wanaopenda kujinyonga huwa sitaki kujibizana nao kabisa kwa kuogopa madhara yake!
 

Sikonge,
Unatakiwa unafahamu kwamba wanyamwezi mmekuwa watumwa kwenye mashamba makubwa maeneo ya pwani kwa miaka nenda rudi.Kwa hali hiyo hata tabia za pwani mmezichukua na mnajifanya nanyi ni watu wa pwani.

Kujiona unajua sana kiswahili, kujifanya kuchezea maneno hilo halinipi shida.
Lakini ukumbuke kwamba kama unataka tuendelee kurushiana maneno hapa, sipati shida kwa hilo pamoja na kuwa sikuzaliwa, kukulia na kulelewa pwani kama wewe.

Mwanaume rijali hawezi kupoteza muda wake kumuangalia mwanaume mwenzie machoni na kuisikiliza sauti yake na kuiita laini, lakini ikitokea hivyo, huna sababu ya kujiuliza kulikoni? huyo ni wazi kabisa anakuwa ni mtoto si rizki.

Kwahiyo naomba kuishia hapa kutoendelea kurushiana maneno nawewe kwa kuwa nimeshakujua wewe mtoto si rizki, endelea tu kuwafuata fuata wanaume wengine uliowazoea, mi mtu wa tarime hizo mambo hatuendekezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…