Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Nakubali mkuu, mimi ndio mwenyewe, unataka nikugawie bango moja la kampeni ubebe na wewe?
Kumbe upendi, basi tutafanya kampeni hadi dunia igeuke, na jamaa yako tutampiga chini kama chaguzi zilizopita za jumuiya.
Heheeeeeee,Sina jamaa yeyote katika kinyang'anyiro cha huko Kyela aisee,kwangu mimi ashinde Mwakalinga,ashinde Mwakyembe au yeyote mwingine atakayejitokeza ni pouwa tu,maana sitaongeza wala kupunguza chochote...Hayo mabango yagawe kwa hao wapambe wenzio,au muwapelekee wananchi wa Kyela(wapiga kura) na si hapa JF..Tatizo ni kwamba mleta thread hii alitegemea itapatikana support ya moja kwa moja kutoka kwa members kitu ambacho imekuwa kinyume,alisahau kwamba JF ni 'Home of Great Thinkers'...Kampeni kapigeni huko Bujonde,Ikolo,Kajunjumele,Kasumulu,Ipinda,Tenende,Itungi,Mbugani,Bondeni,Ndandalo n.k na si hapa JF(though we dare to talk openly)
 
3
2
1

Invisible na wenzako, najua mnasoma hapa. Naomba muingilie kati kwenye suala hili
 
Hili swala halikutakiwa kuwa zito namna hii kwa upande wao kama wangeishi na kutumia kipimo kile kile kinachotumika kwa wanasiasa wote Tanzania.

Mtanzania amekuwa mwanachama hapa na kwenye mitandao kwa muda mrefu sana (Ulisikia walisema kuwa yeye ni mwanzilishi wa JF na pia alikuwa mhazini wa Tanzanet). Anajua namna gani siasa za Tanzania na za kwenye mitandao zinaendeshwa.

Badala ya kutumia uzoefu wake kufanya mambo vizuri (kwa upande wake), yeye akaanza kushambulia watu wanaouliza nia yake ya kugombea ubunge na kulalamika kuwa anaonewa na wawakilishi wa Mwakyembe.

Ingemchukua muda kidogo tu kujua kuwa mtu kama mimi sio tu sijawahi hata kuwa mshabiki wa mwanaccm yeyote wa Mbeya (let alone Mwakyembe), bali pia ni kuwa, nimeweka wazi hapa upinzani wangu kwa CCM over and over again.

Kampeni hii ikiendelea kuendeshwa hivi, ..... sijui nini kitafuatia mbele kama watu wenyewe wanaonekana kuwa na hasira na visasi kabla hata ya kupewa madaraka. Inaonekana timu Mwakalinga wakipewa nchi basi kina Slaa na wenzake wataishia Keko ndani ya muda mfupi sana.

Ulichoandika ni hiki kwa ushahidi upi?
"Mimi bado naamini kuwa ushirikiano wa Mwakalinga na mafisadi (nawataja tena kina Lowasa, ROstam, RIdhiwani na Mwakipesile) unamfanya yeye awe pia fisadi. "

Sihitaji kuonewa huruma ila ukija na madai makubwa kama haya basi toa hata ushahidi kidogo.

Siasa za Kyela ninazimudu ila kinachonishangaza ni hizi propaganda zenu za kumhusisha Mwakalinga na akina lowassa.

Danganya wajinga mkuu na hizo usernames 20. Ita akina Invisible utakavyo mimi hainipi shida. Ukitaka hata nifungie maana uwezo huo unao.
 
Ulichoandika ni hiki kwa ushahidi upi?
"Mimi bado naamini kuwa ushirikiano wa Mwakalinga na mafisadi (nawataja tena kina Lowasa, ROstam, RIdhiwani na Mwakipesile) unamfanya yeye awe pia fisadi. "

Sihitaji kuonewa huruma ila ukija na madai makubwa kama haya basi toa hata ushahidi kidogo.

Siasa za Kyela ninazimudu ila kinachonishangaza ni hizi propaganda zenu za kumhusisha Mwakalinga na akina lowassa.

Danganya wajinga mkuu na hizo usernames 20.

Unategemea mimi nitaandika maandishi kama haya (nyekundu)? Ndio maana umeshindwa hata kuquote post yote?

Invisible ... bado nakusubirieni hapa. Naona mtanzania kaishiwa sera hadi ameanza kupandikiza ushahidi (kama kamanda zombe) wa uongo!!!!!
 
bwana joji mwakalinga mpaka sasa una kura 1 yako tu! kwa jinsi unavyozidi kutema pumba humu.....ushafulia ile mbaaya....cantt wait to see Dr mutua wa mwakalinga.... steveD
 
bwana joji mwakalinga mpaka sasa una kura 1 yako tu! kwa jinsi unavyozidi kutema pumba humu.....ushafulia ile mbaaya....cantt wait to see Dr mutua wa mwakalinga.... steveD

Na wewe kwani nani anataka kura yako? Wape CHADEMA upoteze kura yako kama Biharamulo, tumekuzoea kwa pumba zako

Wana JF kesho karibu sana Busale, Kyela kumpokea mbunge Mwakyembe kwa maandamano akitokea Dar. Mimi nimeandaa bango langu la tunataka maendeleo zaidi sio maandamano zaidi. Nikipigwa jueni bango limeniponza.

Nitawajulisheni yatakayo tokea, naamini kama kawaida yake ataongozana na waandishi habari wa Mengi.

Hivi mwanasiasa kuwa sponsored na mfanyabiashara mmoja sio ufisadi?
 
Engineer wa Mbeya tech nyamaza bwana ......kwanini msitandaze sera badala ya chuki tu! vipi hilo bango ungekuwa nalo Monduli wakati Mtanzania akibadlishana mikakati na Lowassa? Nyie mtamharibia Mwakalinga asipokuwa makini....kulia lia tu as a young little girls!
 
Hata Mwakalinga akitaka maandamano tutambebea bango hilo hilo

Ila huyo mheshimiwa msanii, mwezi march wakati wa njaa eti anazunguka na disco vijijini watu wacheze mpaka asubuhi.

Karibu kesho tufaidi.
 
Hata Mwakalinga akitaka maandamano tutambebea bango hilo hilo

Ila huyo mheshimiwa msanii, mwezi march wakati wa njaa eti anazunguka na disco vijijini watu wacheze mpaka asubuhi.

Karibu kesho tufaidi.

Hizi ndizo sera zenu? sasa nasema sisi wanakyela Mwakyembe is for life! Wenye chuki na mafisadi wameze nyembe!
 
4. SUA kwa mwaka mmoja mpaka 1989 (hakumaliza shule yake)
5. Chuo cha Lugha Poland mwaka 1990
6. Wroclaw Technical university 1991 mpaka 1997 for M.Sc (Computer Science na kupata first class with distinction degree.
7. 1997 alipewa full scholarship ya Ph.D hapo hapo chuoni ikiwa ni kawaida kwa wanafunzi waliokuwa wanapata distinctions kwenye masomo yao.

Twendeni pole pole hapa! SUA alifulia Academically alivyoenda Poland alianza undergraduate, Mwaka 1990 alikuwa anakata kipolish, 1991-1997 alipata BSc na MSc, First Class and distinction, kwa ufahamu wangu mimi First class huwa haina distiction, Ukipata upper second ndiyo yaweza kuwa na distinction, wengine sisi vyuo vyetu pass mark huwa zinakuwa categorized kilatin, summa cum laude ama magna cum laude ama cum laude. Naona ya Mwakalinga ilikuwa special.

Hii ya yeye kupewa PhD scholarship ni mbwe mbwe za kuonyesha yuko walau karibu na Dr mwenye PhD, hakuna ukweli hapo asingeliachia scholarship kwa sababu za kijinga alizoweka hapo! Dogo Piga PhD ya kihali si zile za CCM hata Kamala anayo! Acha majivuno kuonyesha wewe ni kichwa wakati matractor ya SUA yalikukimbizia Poland

Masa
 
Una dharau sana wewe, nahisi umesahau kwamba una madada zao walibebba maboksi kama sie kabla ya kurudi bongo na wengine wako mwanza wnanunua ganja ya buku

take care

Fitna tu hizi MTM sasa mambo ya dada wa Mwanza kama si uongo mtupu umetoa wapi? wenzenu wanakuja ulaya for bussiness trips nyie mnang'ang'ania kubeba maboksi.njooni home tujenge taifa
 
Na wewe kwani nani anataka kura yako? Wape CHADEMA upoteze kura yako kama Biharamulo, tumekuzoea kwa pumba zako

Wana JF kesho karibu sana Busale, Kyela kumpokea mbunge Mwakyembe kwa maandamano akitokea Dar. Mimi nimeandaa bango langu la tunataka maendeleo zaidi sio maandamano zaidi. Nikipigwa jueni bango limeniponza.

Nitawajulisheni yatakayo tokea, naamini kama kawaida yake ataongozana na waandishi habari wa Mengi.

Hivi mwanasiasa kuwa sponsored na mfanyabiashara mmoja sio ufisadi?

kaaaazi kweli kweli!
 
Balantanda,

Nina CV ya Mwakalinga hapa ambayo iligawiwa alipokuwa hapa Kyela:
1. Alisoma Rungwe secondary na kumaliza 1982
2. Tambaza High school na kumaliza 1985
3. UDSM kwa miaka miwili mpaka 1988
4. SUA kwa mwaka mmoja mpaka 1989 (hakumaliza shule yake)
5. Chuo cha Lugha Poland mwaka 1990
6. Wroclaw Technical university 1991 mpaka 1997 for M.Sc (Computer Science na kupata first class with distinction degree.
7. 1997 alipewa full scholarship ya Ph.D hapo hapo chuoni ikiwa ni kawaida kwa wanafunzi waliokuwa wanapata distinctions kwenye masomo yao.
8. 1997 kabla tu ya kumaliza shule alipata kazi kama telecom Engineer kwenye kampuni ya Wamarekani ya Lucent Technologies.

9. 1999 Akahamishiwa Lucent Technology UK, akaamua kuacha masomo ya Ph.D na kuendelea na kazi yake nchini UK.

10. 2006 Akahamia Huawei Technologies kampuni ya Wachina kama mshauri mwandamizi wa mambo ya ufundi wa British Telecom (BT) akiwakilisha Huawei Technologies.
11. 2006 akapata Post graduate diploma in Business administration kutoka Open University (OU)
12. 2008 akafanikiwa kutunikiwa MBA kwenye Technology Management kutoka Open University (OU).

13. Pia ana professional certificates mbalimbali za Cisco na Microsoft.

Ameoa na ana watoto wawili.

Haya wenye fitina leteni uwongo mwingine.

Haya msomi mwingine huyo mzee wa vijisenti Chenge na MASTERS YA HAVARD kama anavyoikualifai yeye ni sawa na PhD ya UDSM,amefanya madudu ya ajabu huyu mwakalinga hata awe anafanya kazi mbinguni ya proffession yake tatizo si elimu ila ni uwezo wa kuongoza.
 
Twendeni pole pole hapa! SUA alifulia Academically alivyoenda Poland alianza undergraduate, Mwaka 1990 alikuwa anakata kipolish, 1991-1997 alipata BSc na MSc, First Class and distinction, kwa ufahamu wangu mimi First class huwa haina distiction, Ukipata upper second ndiyo yaweza kuwa na distinction, wengine sisi vyuo vyetu pass mark huwa zinakuwa categorized kilatin, summa cum laude ama magna cum laude ama cum laude. Naona ya Mwakalinga ilikuwa special.

Hii ya yeye kupewa PhD scholarship ni mbwe mbwe za kuonyesha yuko walau karibu na Dr mwenye PhD, hakuna ukweli hapo asingeliachia scholarship kwa sababu za kijinga alizoweka hapo! Dogo Piga PhD ya kihali si zile za CCM hata Kamala anayo! Acha majivuno kuonyesha wewe ni kichwa wakati matractor ya SUA yalikukimbizia Poland

Masa

Masanilo,

First class with distinction kwa Poland inatolewa kwa wanafunzi wachache sana. Ili upate inatakiwa uwe na average ya kila kitu above 4.7 out of 5.

First class ni kwa anayepata average ya above 4.5 out of 5. hii wanapata wengi.

Ni ngumu sana kwa mwanafunzi wa kigeni kupata first class with distinction kwasababu miaka ya mwanzoni inakuwa ngumu kuwa na average nzuri shauri ya lugha.

Mimi miaka yangu yote ya kukaa hapa poland sikuwahi kusikia mwanafunzi wa kigeni ambaye alipata distinction zaidi ya George. Kuna Mtanzania mwingine alisoma chuo hicho hicho alichosoma George na kwa TZ aliongoza kwa matokeo ya form 4 na form 6 TZ nzima. Baada ya George kupata distinction akasema na yeye lazima apate na akawa chini ya prof yule yule aliyemsimamia George lakini hakufanikiwa. Sasa ni lecture mlimani.

Pia ni kweli George alipewa Ph.D scholarship na nafasi ya kufundisha ila akakataa kufundisha na kukimbilia pesa za Lucent. Ph.D aliacha baadaye wakati anahamia UK.

Chuo ni Wroclaw Technical University, tafuta contact zao na waulize.

Pia umechemsha kulinganisha degree za George na hizo za akina Kamala. Open University (OU) ndio open university ya kwanza duniani na ndio maana inaitwa OU bila kuweka nchi. MBA ya OU inaheshimika sana hapa EUrope. KWa sasa OU ndio inaongoza kwa kutoa CEO wengi Europe. WAswahili wengi hawasomi hiyo kwasababu ni too demanding miaka 3.5 na pounds 15,000 ada na pia inatakiwa uwe kwenye managerial role wakati unaanza kusoma.

UNataka asome PH.D ya nini wakati hataki kuwa lecturer. Angetaka ingelikuwa cheaper kusoma ph.d kwa hapo OU kuliko course aliyosoma. Soma maelezo kuhusu OU:
The OU Business School is accredited internationally by the European Foundation for Management Development, through its EQUIS programme; by the Association to Advance Collegiate Schools of Business (AACSB); and the MBA is accredited by the Association of MBAs (AMBA). The School is one of only 21 business schools worldwide to have achieved all three accreditations.

Hivi mwenye Ph.D moja na mwenye masters tatu kwenye maeneo tofauti, nani yuko well prepared kwa kazi ya siasa TZ?
 
Last edited:
Mkulima,

Walau umejibu kwa uwezo wako!

Ph.D moja na mwenye masters tatu kwenye maeneo tofauti, nani yuko well prepared kwa kazi ya siasa TZ?

Sidhani kama Masters tatu zinakuwa equivalent na PhD hapa labda nipate msaada!

Kila laheri Mwakalinga

Masa
 
Fitna tu hizi MTM sasa mambo ya dada wa Mwanza kama si uongo mtupu umetoa wapi? wenzenu wanakuja ulaya for bussiness trips nyie mnang'ang'ania kubeba maboksi.njooni home tujenge taifa

Kwi kwi kwiii AmaniK nitakupigia simu mkuu.

Tukienda Ulaya na USA tunafikia five stars hotel ambazo wao wabeba mabox wanaziona kwa nje tu miaka nenda rudi walizoishi huko.

Kuishi muishi nyinyi starehe tuje tule sisi.

YO YO, m beba mabox namba moja acha kushangaa masters za watu. Tumepiga shule sana tu.

Hii sio kambi ya wasioenda shule au wabeba mabox!

FP
 
Mkulima,

Walau umejibu kwa uwezo wako!

Sidhani kama Masters tatu zinakuwa equivalent na PhD hapa labda nipate msaada!

Kila laheri Mwakalinga

Masa

Masanilo,
Maswali ya elimu wewe ndio umeyaleta; kubali japo kwamba Mwakalinga ana elimu nzuri tu kwa nafasi anayogombea.

Masters tatu sio equivalent na Ph.D wala Ph.D moja sio equivalent na masters tatu. Inategemea unafanya nini. Kama unafundisha basi ni bora uwe na Ph.D lakini kama ni CEO bora uwe na ujuzi kwenye mambo mengi.

Elimu ni nyenzo tu na wala sio the most important tool kwenye uongozi. Kwa mawazo yangu wanasiasa wetu wengi wako overqualified na elimu zao haziwasaidii kabisa.
 
Back
Top Bottom