Twendeni pole pole hapa! SUA alifulia Academically alivyoenda Poland alianza undergraduate, Mwaka 1990 alikuwa anakata kipolish, 1991-1997 alipata BSc na MSc, First Class and distinction, kwa ufahamu wangu mimi First class huwa haina distiction, Ukipata upper second ndiyo yaweza kuwa na distinction, wengine sisi vyuo vyetu pass mark huwa zinakuwa categorized kilatin, summa cum laude ama magna cum laude ama cum laude. Naona ya Mwakalinga ilikuwa special.
Hii ya yeye kupewa PhD scholarship ni mbwe mbwe za kuonyesha yuko walau karibu na Dr mwenye PhD, hakuna ukweli hapo asingeliachia scholarship kwa sababu za kijinga alizoweka hapo! Dogo Piga PhD ya kihali si zile za CCM hata Kamala anayo! Acha majivuno kuonyesha wewe ni kichwa wakati matractor ya SUA yalikukimbizia Poland
Masa
Masanilo,
First class with distinction kwa Poland inatolewa kwa wanafunzi wachache sana. Ili upate inatakiwa uwe na average ya kila kitu above 4.7 out of 5.
First class ni kwa anayepata average ya above 4.5 out of 5. hii wanapata wengi.
Ni ngumu sana kwa mwanafunzi wa kigeni kupata first class with distinction kwasababu miaka ya mwanzoni inakuwa ngumu kuwa na average nzuri shauri ya lugha.
Mimi miaka yangu yote ya kukaa hapa poland sikuwahi kusikia mwanafunzi wa kigeni ambaye alipata distinction zaidi ya George. Kuna Mtanzania mwingine alisoma chuo hicho hicho alichosoma George na kwa TZ aliongoza kwa matokeo ya form 4 na form 6 TZ nzima. Baada ya George kupata distinction akasema na yeye lazima apate na akawa chini ya prof yule yule aliyemsimamia George lakini hakufanikiwa. Sasa ni lecture mlimani.
Pia ni kweli George alipewa Ph.D scholarship na nafasi ya kufundisha ila akakataa kufundisha na kukimbilia pesa za Lucent. Ph.D aliacha baadaye wakati anahamia UK.
Chuo ni Wroclaw Technical University, tafuta contact zao na waulize.
Pia umechemsha kulinganisha degree za George na hizo za akina Kamala. Open University (OU) ndio open university ya kwanza duniani na ndio maana inaitwa OU bila kuweka nchi. MBA ya OU inaheshimika sana hapa EUrope. KWa sasa OU ndio inaongoza kwa kutoa CEO wengi Europe. WAswahili wengi hawasomi hiyo kwasababu ni too demanding miaka 3.5 na pounds 15,000 ada na pia inatakiwa uwe kwenye managerial role wakati unaanza kusoma.
UNataka asome PH.D ya nini wakati hataki kuwa lecturer. Angetaka ingelikuwa cheaper kusoma ph.d kwa hapo OU kuliko course aliyosoma. Soma maelezo kuhusu OU:
The OU Business School is accredited internationally by the European Foundation for Management Development, through its EQUIS programme; by the Association to Advance Collegiate Schools of Business (AACSB); and the MBA is accredited by the Association of MBAs (AMBA). The School is one of only 21 business schools worldwide to have achieved all three accreditations.
Hivi mwenye Ph.D moja na mwenye masters tatu kwenye maeneo tofauti, nani yuko well prepared kwa kazi ya siasa TZ?