Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mkuu,

Naziona busara zako. Kama kweli ulisoma sheria, ukikaa hapa na kusoma, utaweza kupambua Mchele na Pumba. Vinginevyo umeamua vizuri kuwa "unajiweka neutral".
Kuna member mmoja hapa ni kakingunge fulani ka JF. Anawafahamu vizuri saana Mwakyembe na Mwakalinga. Mwakalinga wako naye hapa JF karibu kila siku na Mwakyembe ni rafiki yake. Nilitegemea mtu kama yeye awe na msimamo kama wa kwako. Ila huwezi amini alivyoanza kumpaka Mwakalinga huku anaufahamu ukweli ukoje. Nenda kwenye ile makala ya Mwakalinga na kasome habari zilizoandikwa na Kanda2 au Mwafrika.
Laiti watu wangelifahamu ni nani, wengine wangelia. Ni sawa na Mwakyembe. Sasa hivi watu wanamsifia na kumwita Mwakalinga FISADI wakati Mwakalinga hajala hata senti moja ya Watanzania. Siku ikifika, basi uchafu wote wa Mwakyembe utaanikwa. Na haitakuwa kama PAKAZIA wanazofanya Mwafrika, Kanda2, Masanilo, Shalom, Malafyale na wengine. Hizi habari zitakuja na vielelezo ili zikiwekwa, zinasimama zenyewe na watu wakisoma, wanainamisha vichwa kwa huzuni.

Kwa haraka haraka nikuulize swali moja:

"Kwa nini mashujaa wote wa CCM, hadi leo hii wanaongelea tu RICHMOND na swala la EPA hata kulisema hawawezi?"[/QUOTE]

Sikonge,
Kwenye EPA wabunge wote wa CCM walipata mgao, ndio maana hakuna hata mbunge mmoja wa ccm anayezungumzia hiyo.

Kwenye Richmonduli, jamaa walikula wenyewe (wachache) ndio maana hawa mashujaa wa ufisadi wamewashikia bango!!

Nangetwa atakuja kumalizia majibu ya swali lako.
 
Mwakalinga na Lowassa ni kama chanda na pete, suala la wao kufahamiana wewe walijua tena ulitupa hints hapa JF, kabla ya kwenda Monduli walikutana pia na kuongea ulaya wakati Edward yuko kwa medical check up. Kama haitoshi alipokuwa vacation Monduli pamoja na kuona shemejiye alikutana kwa kikao cha siri na Lowassa hilo la Mzee wa Mavi kuwa Dodoma mnalijua nyinyi. Mwakalinga ni zao la ufisadi!

Ohhh my God. Mods mbona mnaruhusu matusi ya hali ya juu namna hii??
 
Mkuu,

Hizi habari zitakuja na vielelezo ili zikiwekwa, zinasimama zenyewe na watu wakisoma, wanainamisha vichwa kwa huzuni.

Kwa haraka haraka nikuulize swali moja:

"Kwa nini mashujaa wote wa CCM, hadi leo hii wanaongelea tu RICHMOND na swala la EPA hata kulisema hawawezi?"

Thubutuuu!! kwenye umeme wa upepo mkatolewa nje akawaletea makaratasi yote sasa kimyaa!
 
Thubutuuu!! kwenye umeme wa upepo mkatolewa nje akawaletea makaratasi yote sasa kimyaa!

Thubutu nini? Wee subiri tu utaona. Haraka haraka haina baraka.

Umeme wa UPEPO, alipewa kibano na DR. Slaa akakaa kimya. Alisema nini kuhusu USHIRIKA wake na Rostam Azziz? Walipokosana ndiyo akataka kuanzisha yeye akina Shalom.

Dada/kaka Maggie, hebu soma maelezo hayo hapo juu ya MWITA. Wabunge wa CCM walivuta 5M za EPA. Unasikia mama/baba, walivuta 5M za EPA na ndiyo maana hawasemi kitu chochote kuhusu EPA. Kama huamini si usubiri tu siku wakikosana na Rostam Azziz na yeye aamue kuwambua Watu wote waliopokea salamu kutoka kwa MJOMBA zikiwa kwenye packet. Na RA alivyo mshenzi, akawasainisha kabisaa kama alivyomfanya mchungaji Mtikila.

Wee mtu anakuja anakupa 5M na wala huulizi hizi pesa, mjomba kazitoa wapi?
 
Last edited:
Safi sana Mh Mwakyembe sisi wanaKyela daima tutakuunga mkono.....mpiganaji.....wale wa uzao wa ufisadi wakaogombee Zimbabwe! Umenisikia Mwakalinga?

Masanilo,
Kinepi_nepi amekujibu hapa chini.

Mkuu Kinepi_nepi ni maneno mazito sana haya. Aliye na macho haambiwi ona. Maneno yenyewe ya ki-utu uzima hasaa. Keep it up!!!

Tume ile ya bunge ya Richmond ndio ya kulaumiwa kwani kwa kauli ya Mwakyembe hawakuwasilisha yote kwa sababu ya kuilinda serikali. Sasa jiulize kuilinda serikali ipi je hii ambayo imeundiwa tume na Bunge ? na kama ni hivyo kwanini walitumia fedha za wapiga kura kuichunguza serikali ambayo wanailinda na hawako tayari kutoa uchunguzi, ni nani yuko juu ya sheria, kuyumba kwa serikali maana yake nini? kama ni Raisi tumeshaona watatu na si ajabu akijiuzulu huo ni uungwana.

Tayari tunaona kuwa hata tume ilikuwa na ufisadi, kwani kama kweli wanatume walikuwa na uchungu wa kweli na wazalendo wasinge nunuliwa kwa kuficha info ambazo leo hii kila kitu kingekuwa hadharani na wahalifu wangekuwa jela au serikali ingekuwa mufilisi.

Sasa maisha ya kulindana ndio yanatufikisha hapa, nani yupo tayari kumfunga paka kengele. Ukichora kutoka kwa Mohamed Gire mpaka Rostam unamkuta JK mara tatu. Sasa kweli mkulu ataachia.

Moja JK alipitisha kununuliwa kwa mitambo ya Mohamed Gire bila ya utafiti yakinifu, wakikubaliana kiusanii kwamba ni dharura, huku akiwa na ripoti za usalama wa taifa kwamba kampuni ile ni fafa. Akiwa na karatasi za tenda mkononi akasema mpeni.

Jk alibariki Richmond kuwa Dowans huku rafiki yake mweka hazina wa CCM akiwa mstari wa mbele kuona yanafanikiwa.

Jk alikuwa anabariki akisaidiana na DR. Idrisa wanunue mitambo mibovu ambayo ilinunuliwa kisanii. unganisha mchoro.

JK ndiye aliyemteua Dr. Idrisa kuwa mkurugenzi Tanesco, JK ndiye aliyemteua Rostam kuwa mweka hazina wa CCM, Jk ndiye aliyepitisha Tenda ya richmond, na JK ndiye alikubali mitambo iuzwe tena Tanesco kupitia kwa Dr. Idrisa.

Kumbuka DR. Idrisa aliposhindwa kazi JK ndiye aliyekataa asijiuzulu baada ya yeye mwenyewe kuomba huku JK akijua kuwa pamoja na yote Dr. Idrisa ni mshiriki wa rushwa ya Radar.

Sasa nani atamfunga paka kengele? zote ni ngonjera majibu wote wanayo wanatuchezea cheusi chekundu wajinga huliwa maisha yao mbele kwa mbele. hata Mobutu alikuwa na wapinzani vyama mia tano kwenye payroll yake, hivyo kelele hizi wanajipanga tu hakuna kitu hapa. Novemba itapita na tutasahau kama mengi yalivyosahaulika. Kwani kipi hatari kama sumu ya North Mara imeua, inaua na itaendelea kuua na mgodi unatema fedha huliwa USA na Canada, watoto , wake, waume na wanyama wakifa bila huruma and no body give a .......................................!!!!!!
 
Mkuu,

Naziona busara zako. Kama kweli ulisoma sheria, ukikaa hapa na kusoma, utaweza kupambua Mchele na Pumba. Vinginevyo umeamua vizuri kuwa "unajiweka neutral".
Kuna member mmoja hapa ni kakingunge fulani ka JF. Anawafahamu vizuri saana Mwakyembe na Mwakalinga. Mwakalinga wako naye hapa JF karibu kila siku na Mwakyembe ni rafiki yake. Nilitegemea mtu kama yeye awe na msimamo kama wa kwako. Ila huwezi amini alivyoanza kumpaka Mwakalinga huku anaufahamu ukweli ukoje. Nenda kwenye ile makala ya Mwakalinga na kasome habari zilizoandikwa na Kanda2 au Mwafrika.
Laiti watu wangelifahamu ni nani, wengine wangelia. Ni sawa na Mwakyembe. Sasa hivi watu wanamsifia na kumwita Mwakalinga FISADI wakati Mwakalinga hajala hata senti moja ya Watanzania. Siku ikifika, basi uchafu wote wa Mwakyembe utaanikwa. Na haitakuwa kama PAKAZIA wanazofanya Mwafrika, Kanda2, Masanilo, Shalom, Malafyale na wengine. Hizi habari zitakuja na vielelezo ili zikiwekwa, zinasimama zenyewe na watu wakisoma, wanainamisha vichwa kwa huzuni.

Kwa haraka haraka nikuulize swali moja:

"Kwa nini mashujaa wote wa CCM, hadi leo hii wanaongelea tu RICHMOND na swala la EPA hata kulisema hawawezi?"[/QUOTE]

Sikonge,
Kwenye EPA wabunge wote wa CCM walipata mgao, ndio maana hakuna hata mbunge mmoja wa ccm anayezungumzia hiyo.

Kwenye Richmonduli, jamaa walikula wenyewe (wachache) ndio maana hawa mashujaa wa ufisadi wamewashikia bango!!

Nangetwa atakuja kumalizia majibu ya swali lako.

kusema ukweli mimi swala la Richmond na EPA naona kama mchezo wa kuigiza kwa sasa. nasema hivyo kwa sababu hoja ilipoanza ilikuwa ni nzuri sana na kweli kuwashughulikia hao waliokula nchi na kujulikana maana naamini kuwa wengi ambao bado wanaendelea na ufujaji wa nchi. Swala hili sasa limechukuliwa kisiasa sana kuwajenga wengine na kuwabomoa wengine. nafikiri wakati tunaelekea katika uchaguzi tuache kufiriri mtu alifanya nini au ni msemaji mzuri dhidi ya EPA au Richmond lakini tumpime holistically jinsi gani anaweza kusaidia maendeleo ya wananchi wake. hata kama EPA na RICHMOND ingekuwepo na wananchi wakapata maendeleo katika nyanja za elimu, afya, na miundombinu watu tungeona hayo ni matukio ya huhujumu uchumi tu lakini tujiulize hivi kusingekuwepo na EPA na RICHMOND kweli maendeleo kwa wananchi yangekuwepo?

Kwa mawazo yangu bado swala la kukaa chini na kuja na wazo mbadala bado linatakiwa ili kuona wananchi wetu wanaendelea. sijua Kilimo kwanza bila kuwashirikisha hao wakulima wenyewe sijui kama tutafika kweli. nahisi hili limekuja kama hoja ya uchaguzi mwaka kesho. to be an independent viewer, siamini kama vyama vyetu vya siasa vimekuja na wazo mbadala la kukomboa hii nchi. tunaongelea mambo hayo hayo tu kila siku.
 
Msanilo.
Kumbe wewe ni secretary.
Ndiyo maana una muda mwingi wa kuandika pumba na ujinga mwingi sana hapa.

Mwanzo nilipoletewa CV yako nilibisha na sasa nimeamini.

Hongera sana sana .Nsesi amekwenda wapi?

Mwakalinga okoa kampeni yako kwa kutimua hawa wapambe wanaojikomba, mimi naona wanakuharibia hawa
 
Kwenye EPA wabunge wote wa CCM walipata mgao, ndio maana hakuna hata mbunge mmoja wa ccm anayezungumzia hiyo.

Kwenye Richmonduli, jamaa walikula wenyewe (wachache) ndio maana hawa mashujaa wa ufisadi wamewashikia bango!!

Nangetwa atakuja kumalizia majibu ya swali lako.

Uwiii uwiiiiiiiii, Masanilo njooo huku uokoe jahazi.

Kumbe Mwakyembe ndiyo mzee wa VISASI? Aliponyimwa mlo kwenye Richmond akaja juu na kumkalia kooni Lowassa hadi akamtoa cheo cha Waziri mkuu wa Tanzania kwa mara ya kwanza.
Walipokosana na Rostam Azziz kwenye UMEME WA UPEPO, akaja na kuanza kuitisha vikao vya kusema "RA anaoga kwenye maji taka".
Huyu jamaa anaonekana kuwa mtu wa VISASI sana na hasira za kufa mtu. Loooohhhh, kwa kweli.
Haya wapambe wa Mwakyembe na mjibu sasa shutuma kutoka kwa Dr.Slaa kuwa Mwakyembe na Rostam Azziz walishirikiana kuanzisha kampuni la KIFISADI la umeme, huku akifahamu wazi kabisa kuwa RA si msafi.

Mwisho, kama kweli Rostam Azziz ana sahihi za watu wote (kumbuka alikuwa mweka hazina wa CCM) za watu wakipokea pesa za EPA, basi ingelikuwa heri yake AKIMBIE NCHI.
Mzee Mwanakijiji naanza kuamini sasa maneno yako kuwa ungelikuwa wewe ndiyo RA, basi ungelikimbia Tanzania. Yaani huyu jamaa ana siri nyingi za nchi yetu kuzidi hata Balali. Nafikiri kuna watu wengi wangelipenda kuwa na uhakika kwamba MILELE hatakuja kuropoka.
 
Suala la EPA linahusisha usalama wa taifa, tusije shikwa uhaini na vilaputopu vyetu vya kupewa...EPA iko complicated sana maana hata Mkulu wa Nchi imechangia kumweka pale magogoni. Hii imepelekea baadhi ya ring leaders wawe hawashikiki.

Richmond, najua unakumbuka ilikuwa kamati ya Bunge Mh Spika yule wa Urambo kuamua kuunda tume ichunguze, ndipo hapo Mfadhili wa Mwakalinga akaumbuka, na kuja na madai ya cheke chea kuwa hakutendewa haki ya kujitetea. Akajiuzulu kwa hasira.

All the best Harrison Mwakyembe, PhD
 
Na hapo Mwakyembe juzijuzi akajisifu kuwa "baadhi ya mambo waliyaficha".

Hata MEREMETA ilikuwa usalama wa Taifa, ila Mzee Mwanakiji akaiweka yote hapa ndani ya JF. Swala la EPA kabaki Dr. Slaa peke yake na sidhani kama JF watakuja kulifuatilia sana maana unaweza kukuta mtu unamfunua mama mkwe wako......
Masanilo, wasalimie huko Kanda2 na Mwafrika.
 
Last edited:
Wewe badala ya kupost kitu kizima unataka kupigiwa simu. Tunafaidi nini mpaka tupige simu na kwa gharama za nanai? Acha hizo.
 
Juu Mwakyembe Juu zaidi.Ila jamani anayeharibu siasa za Mbeya ni Mkuu wa Mkoa John Mwakipesile sijui kwa nini haamishwi au amewekwa kwa kazi ya kuvuruka Siasa hapo nini?
 
Jana mheshimiwa Mwakyembe alihutubia Ipinda na kuanza kuweka vijembe vyake. Aliwaambia wananchi kwamba Mwakalinga kaletwa Kyela na DC Mashimba na ndio maana rais aliamua kumfukuza kazi huyo DC.

Pia kwenye mkutano wa ndani na wapambe wake aliwaambia Mwakalinga amekamatwa na yuko mahabusu Uingereza na kwamba serikali inafanya mpango wa kumrejesha nchini.

Hizo ndio siasa za Kyela, vipi Mwakalinga uko salama huko? Sikujua na wewe una matatizo kama yule jamaa wa Ze Utamu.

Huyo rais JK yuko sehemu ngapi? Mara anamuunga mkono Mwakalinga mpaka kumtuma mtoto wake kumpigia kampeni, mara kamwondoa DC kwasababu DC anamwunga mkono Mwakalinga. Mara sasa kawaagiza Interpol wamrudishe Mwakalinga TZ.

Kuna mtu anatapatapa kweli kweli!
 
Kuna uwezekano wa kupata maneno (tape) ya maneno ya Mwakyembe akisema kuwa Mwakalinga yuko jela UK? Itabidi haya yatumike sana wakati wa kampeni. Fanya juu chini upate tape ya maneno hayo.
 
Uwiii uwiiiiiiiii, Masanilo njooo huku uokoe jahazi.

Kumbe Mwakyembe ndiyo mzee wa VISASI? Aliponyimwa mlo kwenye Richmond akaja juu na kumkalia kooni Lowassa hadi akamtoa cheo cha Waziri mkuu wa Tanzania kwa mara ya kwanza.
Walipokosana na Rostam Azziz kwenye UMEME WA UPEPO, akaja na kuanza kuitisha vikao vya kusema "RA anaoga kwenye maji taka".
Huyu jamaa anaonekana kuwa mtu wa VISASI sana na hasira za kufa mtu. Loooohhhh, kwa kweli.
Haya wapambe wa Mwakyembe na mjibu sasa shutuma kutoka kwa Dr.Slaa kuwa Mwakyembe na Rostam Azziz walishirikiana kuanzisha kampuni la KIFISADI la umeme, huku akifahamu wazi kabisa kuwa RA si msafi.

Mwisho, kama kweli Rostam Azziz ana sahihi za watu wote (kumbuka alikuwa mweka hazina wa CCM) za watu wakipokea pesa za EPA, basi ingelikuwa heri yake AKIMBIE NCHI.
Mzee Mwanakijiji naanza kuamini sasa maneno yako kuwa ungelikuwa wewe ndiyo RA, basi ungelikimbia Tanzania. Yaani huyu jamaa ana siri nyingi za nchi yetu kuzidi hata Balali. Nafikiri kuna watu wengi wangelipenda kuwa na uhakika kwamba MILELE hatakuja kuropoka.

Mkuu Sikonge,

Najua unachekelea kwakuwa uko kwenye kampeni ya kumnadi Mwakalinga, kwahiyo popote unapompatia upenyo Mwakyembe huchelewi kukandamizia, siwezi kukulaumu kwa hilo kwa kuwa una uhuru na haki ya kumuunga mkono mtu yeyote unayemuona anafaa kuwa mwakilishi wako mjengoni (ingawa mbunge wako toka sikonge ni Saidi Nkumba ambaye vilevile uko against naye).

Lakini pamoja na hayo yote ni ukweli ulio dhahiri kwamba Mwakyembe amefanya kile ambacho wengi hawawezi kuthubutu kukifanya. Tume ngapi za bunge zimewahi kuundwa na zikaishia kuilamba miguu serikali?

Wabunge wangapi wamepewa zawadi ya uwaziri kwa kazi yao nzuri ya kuisafisha serikali?unakumbuka Abdala Kigoda na Wilson Masilingi walivyopata uwaziri enzi za mkapa?

Kwahiyo ukweli ni kwamba angalau Mwakyembe amethubutu kufanya kile wengi walichoshindwa, na wala hiyo haiwezi kuwa visasi.After all hakuwa peke yake, unajua kamati ile ilikuwa na wajumbe wangapi na kama findings za kamati zilikuwa uongo bunge lisingeyapitisha maazimio ya kamati yake tena yaliongezwa na bunge hadi kufikia 23.
 
huyu mwakyembe akisindwa ubunge 2010 nadhani anaweza akafa kwa BP.....huu ni uoga tu ,apokewe kama mfalme kwa lipi alilolifanya kyela..
 
Si tu Dr hajafanya la maana Kyela hata Taifa hajalifanyia la maana.

Richmond ilikuwa ni agizo sio yeye aliyelipua bomu kama Dr Slaa na EPA
 
Back
Top Bottom