Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mwakyembe.Umati huo kwa kauli moja hatimaye ukakubaliana kuwa Dr Mwakyembe akiwa kwenye jimbo lake la Kyela aitwe "Obama"

Jules Shungu Wembadio aka Papa Wemba; Kuru Yaka; Bakala dia Kuba; Vieux Musee; Formateur des Idoles; Mwalimu; Chef Coutoumier; Mzee; Kolo.

Kuna uhusiano gani kati ya Mwakyembe na Papa Wemba?

WOTE NI WASANII...................

(Jina la KURU, alitumia kwenye film ya La Vie est Belle.)
 
Malafyale,

Muheshimu mungu wako, kama kweli unamwamini mungu.

Unaidhalilisha Kyela kwa kuendeleza kumwaga hapa mambo ambayo hayana ukweli wowote.

Maandishi kama haya ndiyo yawafanya watu wengi waamini kama Kyela kuna vurugu au watu wanagombana.

Sisi tumetembelea kata zote 21 bila ulinzi na hakukuwa na sehemu hata moja ambayo angalau hata mtu alitusemea neno baya. Naamini ni hivyo hivyo hata kwa Dr. hakuna mtu hata mmoja ambaye anamtukana akipita barabarani.

Kupingana siasa na Dr. Mwakyembe haiwezi kugeuka ugomvi au uadui. Mwamuzi ni wananchi hapo 2010.

Ifike mahali JF tuunde kamati ndogo ya watu wenye busara na wasio na interests binafsi kwenye haya mapambano. Kazi yao iwe ku confirm au kukanusha habari husika. Siku hizi kuna simu na mitandao kila sehemu, ni rahisi mno kupata ukweli wa jambo. Naamini mtu akiumbuliwa mara mbili kwamba ni muongo, watu wote watamdharau.

Malafyale ni mtu muongo ambaye ameamua kutumia PC yake kuandika kila aina ya uongo kuhusu siasa za Kyela. Alifanikiwa kuidanganya JF kule kwenye thread ya Mwakalinga na sasa kesha onja nyama ya mtu, ameona ni nzuri na anataka kuendelea kuitafuna.

Tuwaangalie watu kama hawa kuelekea 2010, watakuwepo wengi. Siku hizi kuchukua picha ni kitu rahisi mno, kwanini walete maneno matupu bila picha?
 
Yaliyoelezwa kwenye mkutan huo ni mengi sana,na kama una taka kuyajua kwa ufanisi basi piga simu hii ili uelezwe zaidi 0784 370 227

Tulifahamu tangu zamani kuwa haupo Kyela.

Habari za Texas mkuu? Naona jamaa aliyekupa habari alikuwa kashapata zeBingwa na habari zake zikawa zimepoteza GRAVITATION AXI.

Msalimia mama wa Kimarekani anayetutunzia Mtanzania mwenzetu.
 
Safi sana Mh Mwakyembe sisi wanaKyela daima tutakuunga mkono.....mpiganaji.....wale wa uzao wa ufisadi wakaogombee Zimbabwe! Umenisikia Mwakalinga?
 
Mwakyembe mwenyewe akihutubia huku kasimama kwenye meza iliyotandikwa bendera ya Taifa tena akilindwa na wazee maarufu wa mji wa Kyela akiwemo mzee Mboka,Mzee Hasab Baba,Mzee Mwakanyika na wengine wengi aliwashukuru sana wakazi wa Kyela kwa kumuunga mkono na akahaidi kuwatumikia kwa moyo mkunjufu zaidi!

Mwanasheria MZIMA analindwa na WAZEE!!!!

Si ndiyo hawa walikuwa pembeni mwa Mwinyi, na kijana akaja Akamlabua mzee Ruksa, PAAAAAA!!!! Nilifikiri atakuwa analindwa na Walinzi professionals. Kumbe ni Wazee!!!!

Chambuzi nyingine zitafuata baadaye.
 
Msanilo.
Kumbe wewe ni secretary.
Ndiyo maana una muda mwingi wa kuandika pumba na ujinga mwingi sana hapa.Mwanzo nilipoletewa CV yako nilibisha na sasa nimeamini. Hongera sana sana .Nsesi amekwenda wapi?

Teh teh teh teh SAM OBINGO!

Mzee naona weshanifahamu, natengeneza maisha kwa usecretary na sitegemei kupewa Laputopu na Mbunge Mtarajiwa wa Zimbabwe...Nsesi wewe m-PM atakujibu. Yuko Busy na ziara ya Mh Mwakyembe kule Kyela...unajipya zaidi?
 
Jamani RA na Mwakyembe nani mwenye uwezo wa kutatua kero za wanachi? Kumbuka mswada wa uchimbaji madini kwenye hifadhi za taifa. RA alichangia kitu gani?Aliyebarikiwa kabarikiwa hata km ataungwa nkono na waandishi wote wa habari, lakini wa RA wakabaki kimya. Huwezi pendwa na wote. Lakini penye ukweli uongo hauna njia.
 
Kwa uzoefu wangu wa JF, ukiona wapambe hapa wanashindana kwa vikumbo jua mambo hayako shwari kwa mabwana zao.

Inaelekea kujitokeza kwa Mwakalinga kumewatisha sana wapambe. Njooni muje mujiandikishe hapa Kyela maana uchaguzi utaamuliwa hapa Kyela na wala sio JF. Mtu unakaa Texas na kuzua mambo, si rudi TZ uje ushiriki siasa ki kweli kweli?

Kama mambo ni haya, basi sasa hata habari za uchaguzi toka sehemu zingine nitakuwa siziamini kabisa. Habari za huu mkutano mimi nilishaziandika siku ile ile baada tu ya mkutano, leo nimecheka kweli niliposoma thread ya Malafyale.

Kikolo Malafyale, ulintungulu ngati ulinkikulu?
 
hata mimi nina wasiwasi kidogo na habari hii...mi nazani zingewekwa picha tukaona na hilo swala la kukanyaga bendera ya taifa, sizani kwamba mwakyembe anaweza kufanya kosa kama hilo....
acha porojo na longolongo leta ushahidi hapa wa picha, tunampenda na kumuombea mwakyembe afanikiwe lakini si kwa kuleta habari za uongo...
 
Safi sana Mh Mwakyembe sisi wanaKyela daima tutakuunga mkono.....mpiganaji.....wale wa uzao wa ufisadi wakaogombee Zimbabwe! Umenisikia Mwakalinga?

Kakusikia mkuu wangu. Ila kuelewa ndiyo kivumbi maana hata mie hili neno sijawahi lisikia, "WAKAOGOMBEE???"

Wapambe wa Obama wakiingia Kyela. Masanilo yuko juu kabisa na kashavalia tayari tayari yellow vest ya Njano.

Obama+Kenya+family.jpg
 
nafikiri hamna haja ya kusema mwingine ni mwongo au la bali ukweli utakuja kuwa wazi si mda mrefu. inaelekea kuna watu wanawapigia kampeni watu fulani hapa nasisi tunaingia katika mtego wao. whether u support or not but if you have read it and see its contents so the news has already been spread as intended. to invoke discussion in support or against him so that one becomes popular. mimi namjua Mwakyembe toka mwaka nikisoma sheria University of Dar es Salaam akinifundisha sheria za jinai (criminal law) so i dont want to say anything in support or opposing it.
 

Kwa uzoefu wangu wa JF, ukiona wapambe hapa wanashindana kwa vikumbo jua mambo hayako shwari kwa mabwana zao.

Uzoefu upi ulionao acha sifa za kijinga, ndiyo nyie mkaja na mambo ya kusadikika eti Mwakalinga nimfadhili na mwanzilishi wa JF!!

Inaelekea kujitokeza kwa Mwakalinga kumewatisha sana wapambe. Njooni muje mujiandikishe hapa Kyela maana uchaguzi utaamuliwa hapa Kyela na wala sio JF

Mwakalinga hana jipya na hajawahi kulifanyia taifa wala Kyela chochote


. Mtu unakaa Texas na kuzua mambo, si rudi TZ uje ushiriki siasa ki kweli kweli?

Hapa umefulia mambo ya Texas yametoka wapi mkuu?

Kama mambo ni haya, basi sasa hata habari za uchaguzi toka sehemu zingine nitakuwa siziamini kabisa
.

Hutakiwi kuziamini kwani wewe ni jaji Makame ama Kivuitu? wewe mwenyewe huaminiki kama amabavyo George haamniniki.

Habari za huu mkutano mimi nilishaziandika siku ile ile baada tu ya mkutano, leo nimecheka kweli niliposoma thread ya Malafyale.

So what Engineer wewe vipi mkuu!!

Kikolo Malafyale, ulintungulu ngati ulinkikulu?

Tafsiri yake?
 
Kakusikia mkuu wangu. Ila kuelewa ndiyo kivumbi maana hata mie hili neno sijawahi lisikia, "WAKAOGOMBEE???"

Wapambe wa Obama wakiingia Kyela. Masanilo yuko juu kabisa na kashavalia tayari tayari yellow vest ya Njano.

Obama+Kenya+family.jpg

Teh teh teh hiyo nilinunuliwa Poland kaka na yule mtaalamu wa komputa...I meant wakagombee....sorry for the inconviniences I might have caused....
 
Kakusikia mkuu wangu. Ila kuelewa ndiyo kivumbi maana hata mie hili neno sijawahi lisikia, "WAKAOGOMBEE???"

Wapambe wa Obama wakiingia Kyela. Masanilo yuko juu kabisa na kashavalia tayari tayari yellow vest ya Njano.

Obama+Kenya+family.jpg

Jamani hii picha ni wapi???
 
nafikiri hamna haja ya kusema mwingine ni mwongo au la bali ukweli utakuja kuwa wazi si mda mrefu. inaelekea kuna watu wanawapigia kampeni watu fulani hapa nasisi tunaingia katika mtego wao. whether u support or not but if you have read it and see its contents so the news has already been spread as intended. to invoke discussion in support or against him so that one becomes popular. mimi namjua Mwakyembe toka mwaka nikisoma sheria University of Dar es Salaam akinifundisha sheria za jinai (criminal law) so i dont want to say anything in support or opposing it.

Mkuu,

Naziona busara zako. Kama kweli ulisoma sheria, ukikaa hapa na kusoma, utaweza kupambua Mchele na Pumba. Vinginevyo umeamua vizuri kuwa "unajiweka neutral".
Kuna member mmoja hapa ni kakingunge fulani ka JF. Anawafahamu vizuri saana Mwakyembe na Mwakalinga. Mwakalinga wako naye hapa JF karibu kila siku na Mwakyembe ni rafiki yake. Nilitegemea mtu kama yeye awe na msimamo kama wa kwako. Ila huwezi amini alivyoanza kumpaka Mwakalinga huku anaufahamu ukweli ukoje. Nenda kwenye ile makala ya Mwakalinga na kasome habari zilizoandikwa na Kanda2 au Mwafrika.
Laiti watu wangelifahamu ni nani, wengine wangelia. Ni sawa na Mwakyembe. Sasa hivi watu wanamsifia na kumwita Mwakalinga FISADI wakati Mwakalinga hajala hata senti moja ya Watanzania. Siku ikifika, basi uchafu wote wa Mwakyembe utaanikwa. Na haitakuwa kama PAKAZIA wanazofanya Mwafrika, Kanda2, Masanilo, Shalom, Malafyale na wengine. Hizi habari zitakuja na vielelezo ili zikiwekwa, zinasimama zenyewe na watu wakisoma, wanainamisha vichwa kwa huzuni.

Kwa haraka haraka nikuulize swali moja:

"Kwa nini mashujaa wote wa CCM, hadi leo hii wanaongelea tu RICHMOND na swala la EPA hata kulisema hawawezi?"
 
Back
Top Bottom