Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kwa Umma:
Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani ya Jiwe.
Hata hivyo Chadema - Kyela imeahidi kukata rufaa ili kupambana na hukumu hiyo ya mchongo .
Nakala: PETER KIBATALA
UPDATES
=========
Leo tarehe 7/10/2022 Gerald Mwakitalu ameachiwa huru na Mahakama ya rufaa baada ya tuhuma dhidi yake kuonekana ni za uongo Mtakatifu .
Tunamuomba Mungu atoe Hukumu ya Haki kwa Wote waliotumika kumkandamiza kijana huyu , akiwemo Hakimu aliyetoa hukumu ile ya uongo , pamoja na ccm yote , Amina .