Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

Taarifa kwa Umma : Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya mwanaccm kwenye uchaguzi wa 2020 , huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani ya Jiwe.

View attachment 2120559View attachment 2120558
c
Hata hivyo Chadema - Kyela imeahidi kukata rufaa ili kupambana na hukumu hiyo ya mchongo .

Nakala : PETER KIBATALA
Uwongo na chuki zenu zisizo na sababu za kweli kwa Rais Hayat Magufuli zinawatenganisha na uwepo wa Mungu. Mnachelewesha hatima zenu kwa mambo ya kipumbavu kama haya ya kila kitu mnamsingizia Magufuli. Kama ni Magufuli sasa amekufa, nini kinachofanya malaika waliopo wasitende haki?

Unaweza ukamshawishi hata shetani akuamini kwamba Mwangosi alipigwa bomu wakati wa Magufuli? Onyesheni uungwana na ukweli ili muaminike.

Hayu alipong'olewa kucha na meno na watu wasiojulikana, ilikuwa enzi ya Magufuli?
1644981584206.png

Wkati huyu analipuliwa bomu akiwa kati kati ya polisi na RPC akiwepo ilikuwa enzi ya Magufuli?
1644981715967.png

Kumwongezea makosa Magufuli ambayo si yake ni laana kwenu.

Haya hapa chini yameanza kutokea wakati wa Magufuli?

Na mfahamu, msipoonyesha kujua chanzo cha matatizo ya Tanzania na kubakia na huo ujingaujinga, msidhani kuna mtu atadiriki kuwaamini. Watu wajinga waiolielewa taifa hawawezi kuleta mabadiliko yoyote chanya na ya maana kwa sababu ni wajinga.
 
Eti kosa dogo hukumu kubwa mnajua alivuja jasho la kiasi gani kujenga nyumba yake?

Heko kwa Hakimu, funzo kwa wengine wenye mihemko ya kisiasa isiyo na tija.
Vipi waliomuua Kamanda Mawazo, Azori Gwanda, Ben Saa Nane, Mwangosi na wakampiga risasi Tundu Lisu, n.k. wao makosa yao unayaweka katika rank gani na adhabu yao ilikuwa nini kweli?
 
Taarifa kwa Umma : Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya mwanaccm kwenye uchaguzi wa 2020 , huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani ya Jiwe.

View attachment 2120559View attachment 2120558

Hata hivyo Chadema - Kyela imeahidi kukata rufaa ili kupambana na hukumu hiyo ya mchongo .

Nakala : PETER KIBATALA
CCM ni janga la Taifa,wanalazimisha kuwadhoofisha wapinzani wao kwa kuwabambikia na kuwafunga jela.
CDM inapitishwa kwenye mateso haya kwa kuwa wanakubalika na wananchi nchi nzima.Kama siyo kuenguliwa,kushtakiwa na kunyimwa fursa ya kufanya siasa sidhani kama CCM ingekuwa na diwani au mbunge.
Napendekeza CCM kifutwe kabisa maana wamelisaliti na kulitesa Taifa letu.
 
Hata ingekuwa amechoma hiyo nyumba, kifungo cha maisha ni ridiculous na inhumane. Hukumu itaeleweka kama uchomaji huo ulisababisha kifo au vifo. Kama hakuna aliyejeruhiwa au kupoteza maisha, hukumu kama hizi ni za kukomoana tu.

Amandla...
Kama alichoma kweli na hakuna kifo, hukumu yake huwa ni uharibifu wa Mali kifungo ni chini ya miaka miwili!! Huyu hakimu hana tofauti na ibilisi
 
Huyo hakimu ni kada wa mboga mboga kindaki ndaki ila kaficha gamba chini ya kiti Cha hukumu,
Na Ndio maana wengi wakistaafu huugua magonjwa ya Akili sababu ya dhuluma!
 
Uwongo na chuki zenu zisizo na sababu za kweli kwa Rais Hayat Magufuli zinawatenganisha na uwepo wa Mungu. Mnachelewesha hatima zenu kwa mambo ya kipumbavu kama haya ya kila kitu mnamsingizia Magufuli. Kama ni Magufuli sasa amekufa, nini kinachofanya malaika waliopo wasitende haki?

Unaweza ukamshawishi hata shetani akuamini kwamba Mwangosi alipigwa bomu wakati wa Magufuli? Onyesheni uungwana na ukweli ili muaminike.

Hayu alipong'olewa kucha na meno na watu wasiojulikana, ilikuwa enzi ya Magufuli?
View attachment 2120648

Wkati huyu analipuliwa bomu akiwa kati kati ya polisi na RPC akiwepo ilikuwa enzi ya Magufuli?
View attachment 2120650
Kumwongezea makosa Magufuli ambayo si yake ni laana kwenu.

Haya hapa chini yameanza kutokea wakati wa Magufuli?

Na mfahamu, msipoonyesha kujua chanzo cha matatizo ya Tanzania na kubakia na huo ujingaujinga, msidhani kuna mtu atadiriki kuwaamini. Watu wajinga waiolielewa taifa hawawezi kuleta mabadiliko yoyote chanya na ya maana kwa sababu ni wajinga.

Umekuwa mfuatiliaji makini. Hongera!
 
Hata ingekuwa amechoma hiyo nyumba, kifungo cha maisha ni ridiculous na inhumane. Hukumu itaeleweka kama uchomaji huo ulisababisha kifo au vifo. Kama hakuna aliyejeruhiwa au kupoteza maisha, hukumu kama hizi ni za kukomoana tu.

Amandla...

Wewe ni mjinga sana, kitendo chakumchomea mtu nyumba ni kitendo cha hatari sana,haijalishi watu wamekufa ama la, kifungo kamahicho kinakuhusu.

Kumchomea mtu nyumba nimoja kati ya matendo ya kikatilisana nandio maana adhabu yake ni kubwa kiasi hicho.

Usitete uhalifu, wesema kama amebambikiwa kesi hilo ni jambo jingine lakini ukisema adhabu nikubwa kwasababu hajafa mtu ni upuuzi.
 
Kuna watu mlizaliwa akili haipo mama zenu walitoa uchafu tu leba ange! ange! Ndiyo nini?😎

Kuna watu wanasemaga dereva wa lisu "ANGE" kuwa hayupo polisi wange muhoji nani, vipi nahao wanao sema hiyo ange nawenyewe walitolewa kama uchafu na mamazao leba?.
 
Hiyo kesi ilikuwa kubwa sana kwanini chama hakiku muwekea mawakili wazuri kama wa mwenye kiti.
 
Back
Top Bottom