Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu umejipinda kujenga nyumba alafu mtu na ujinga wake wa kitundulisu unaenda na mihemko yako kuchoma moto?Kama alichoma kweli na hakuna kifo, hukumu yake huwa ni uharibifu wa Mali kifungo ni chini ya miaka miwili!! Huyu hakimu hana tofauti na ibilisi
[emoji871]Mleta uzi ungetulia na kuandika kitu kinachoeleweka.Taarifa kwa Umma : Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya mwanaccm kwenye uchaguzi wa 2020 , huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani ya Jiwe.
View attachment 2120559View attachment 2120558
Hata hivyo Chadema - Kyela imeahidi kukata rufaa ili kupambana na hukumu hiyo ya mchongo .
Nakala : PETER KIBATALA
Vijana mnapenda sana matusi. Arson ni kuchoma moto mali yeyote ya mtu, sio nyumba tu. Ukichoma moto nguo za mwenzako ni arson. Ukichoma moto baiskeli ya mwenzako, ni arson. Ukichoma moto pagala, ni arson. Ukichoma mazao ya mwenzio, ni arson.Unataka kutuambia kuwa adhabu ya makosa yote haya ni kifungo cha maisha?Wewe ni mjinga sana, kitendo chakumchomea mtu nyumba ni kitendo cha hatari sana,haijalishi watu wamekufa ama la, kifungo kamahicho kinakuhusu.
Kumchomea mtu nyumba nimoja kati ya matendo ya kikatilisana nandio maana adhabu yake ni kubwa kiasi hicho.
Usitete uhalifu, wesema kama amebambikiwa kesi hilo ni jambo jingine lakini ukisema adhabu nikubwa kwasababu hajafa mtu ni upuuzi.
Wewe una hakika gani ni uongo? Wanachadema wao ni malaika hawafanyi makosa? Umefuatilia muenendo wa hiyo kesi na mkajiridhisha kaonewa? Mlimuwekea wakili kuhakikisha kesi inaendeshwa kwa haki?Najaribu kuwaza. Ofisa wa polisi mtu mzima na mwenye akili zake anaenda ofisini na kumfungulia mwingine shtaka la ARSON la uongo huku akijua adhabu yake ni kifungo cha maisha jee huyo anajisikiaje moyoni mwake?
Unaenda kutengeneza uongo ili umpoteze mtu maisha yote, una tofauti gani na muuaji? Tena kwa kutumia ofisi ya umma?
hii mihemko nyie watu wa siasa ndio inawaponza,sasa kama hapa umemtukana mwenzako na kumtukania mamaye ukihukumiwa wewe na wenzako mtalalamika mnaonewa hamkutukana!Kuna watu mlizaliwa akili haipo mama zenu walitoa uchafu tu leba ange! ange! Ndiyo nini?😎
Sheria iko wazi, ukichoma Nyumba adhabu yake ni kifungo cha maisha. Lazima tutafakari kabla ya kufanya maamuzi ya hovyo kisa siasa zinazopita na kuziachia maumivu familia zetu.Eti kosa dogo hukumu kubwa mnajua alivuja jasho la kiasi gani kujenga nyumba yake?
Heko kwa Hakimu, funzo kwa wengine wenye mihemko ya kisiasa isiyo na tija.
Vipi wale waliofungwa maisha kwa kuchoma kituo cha Polisi, akiwemo dogo wa shule aliyekuwa under 18?Vijana mnapenda sana matusi. Arson ni kuchoma moto mali yeyote ya mtu, sio nyumba tu. Ukichoma moto nguo za mwenzako ni arson. Ukichoma moto baiskeli ya mwenzako, ni arson. Ukichoma moto pagala, ni arson. Ukichoma mazao ya mwenzio, ni arson.Unataka kutuambia kuwa adhabu ya makosa yote haya ni kifungo cha maisha?
Ninavyojua mimi kifungo cha maisha ni maximum sentence na sio mandatory. Kifungo hicho kinatolewa pale ambapo mtu amechoma moto nyumba akijua ndani kuna mtu au watu kwa lengo la kuwaua. Au mtu ana tabia ya kuchoma nyumba za wenzake. Au amechoma nyumba kama sehemu ya ugaidi. Vyote hivyo inaelekea havikuweko kwenye hii kesi, na adhabu imetolewa kumkomoa mtu ambae hata hakuhusika.
Kutetea kila kitendo cha uonezi kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa ni upumbavu.
Amandla...
Ni adhabu nyingine ya kijinga na uonevu kama ile ya kuwafunga wakina Mbowe kwa sababu askari amemuua yule binti Akwilina.Vipi wale waliofungwa maisha kwa kuchoma kituo cha Polisi, akiwemo dogo wa shule aliyekuwa under 18?
Ukithibitika umechoma bila sababu yeyote adhabu yake ni kifungo cha maisha basi
Machagadema ugaidi uko kwenye damuHakuchoma na wala hakuna kifo
[emoji871]Je wewe umekwisha pata nakala ya hukumu na mwenendo wa kesi nzima na ukajiridhisha kwamba wakati nyumba hiyo ikichomwa moto kulikuwa hakuna watu ndani yake?Vijana mnapenda sana matusi. Arson ni kuchoma moto mali yeyote ya mtu, sio nyumba tu. Ukichoma moto nguo za mwenzako ni arson. Ukichoma moto baiskeli ya mwenzako, ni arson. Ukichoma moto pagala, ni arson. Ukichoma mazao ya mwenzio, ni arson.Unataka kutuambia kuwa adhabu ya makosa yote haya ni kifungo cha maisha?
Ninavyojua mimi kifungo cha maisha ni maximum sentence na sio mandatory. Kifungo hicho kinatolewa pale ambapo mtu amechoma moto nyumba akijua ndani kuna mtu au watu kwa lengo la kuwaua. Au mtu ana tabia ya kuchoma nyumba za wenzake. Au amechoma nyumba kama sehemu ya ugaidi. Vyote hivyo inaelekea havikuweko kwenye hii kesi, na adhabu imetolewa kumkomoa mtu ambae hata hakuhusika.
Kutetea kila kitendo cha uonezi kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa ni upumbavu.
Amandla...
Aliyeleta taarifa amesema hamna mahali paliposemwa kuwa kulikuwa na watu ndani.[emoji871]Je wewe umekwisha pata nakala ya hukumu na mwenendo wa kesi nzima na ukajiridhisha kwamba wakati nyumba hiyo ikichomwa moto kulikuwa hakuna watu ndani yake?
[emoji871]Tutaomba Martin Masesa aje kutupatia muhtasari wa hii kesi.
Na CCM wao hawakufanya fujo? Tulioyaona Hai na wale waliompopoa mawe mgombea urais wa Chadema walikuwa Chadema? Ofisi ngapi za Chadema zimevunjwa bila hatua yeyote kuchukuliwa? Hivi wale waliopigwa picha wakimpiga matofali mfuasi wa Chadema walihukumiwa miezi mingapi vile?Nashangaa watu mnavyomtetea huyo mtuhumiwa utadhani mlikuwepo siku ya tukio...kuna sehemu nyingi chadema walileta vurugu 2020 kuna ofisi zilivunjwa sana ilo sio ata la kubishana.
Ushahidi ushawekwa na Jamhuri na haukuacha shaka yoyote ndio maana akatiwa hatiani.Weka ushahidi , Chadema Tunduma walisingiziwa kuua mtu , wakawekwa ndani miezi mingi kama Mbowe , 54 chadema members , leo wote wako nje , wauaji wawezaje kuachiwa ?
dhambi ya unafiki itakutafuna mileleUshahidi ushawekwa na Jamhuri na haukuacha shaka yoyote ndio maana akatiwa hatiani.
Hao unaosema walisingiziwa kuua, ina maana Jamhuri ilishindwa kuthibitisha madai yao ndio maana wakaachiwa huru.
Mahakama imetenda haki.