Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Sijawahi kuleta uongo humu mkuu , naambiwa Mwakyembe ana ID yake humu aje akanushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuleta uongo humu mkuu , naambiwa Mwakyembe ana ID yake humu aje akanushe
Imbombo inghafu!Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja ,
Soko Kuu la Wilaya ya Kyela kwa miaka yote ya Uhai wake lilikuwa mali ya Halmashauri , lilikuwa ni mali ya umma , Halmashauri ilitoa ramani ya muongozo kwa wananchi waliokuwa na uwezo wa kujenga vibanda vya biashara na kujenga meza ndani ya soko hilo , huku gharama zikiainishwa na baadaye kuingia mikataba ya upangaji na Halmashauri , kwa kukata gharama zao taratibu kwenye kodi , TAARIFA ZA SASA NI KWAMBA HALMASHAURI IMEAMUA KUGAWA SOKO HILO KWA CCM bila kufuata utaratibu wowote ule , Hakuna kikao chochote cha Madiwani kilichowahi kuidhinisha jambo hili , watendaji wa Halmashauri waliojaribu kulivalia njuga jambo hili wametishwa kufukuzwa kazi na kutekwa .
Viongozi Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM , Hunter Mwakifuna na Mkurugenzi wa Wilaya bila kufuata sheria yoyote wala utaratibu wowote ule wa kisheria wameamua kuligawa soko la Kyela kwa ccm , ambalo ndio Chanzo Kikuu cha mapato ya halmashauri , ndani yake kuna maduka zaidi ya 200 huku meza za soko la samaki wabichi na wakavu na meza za kuuzia nafaka zikiwa lukuki , Hili wananchi wa Kyela hatutakubali na tuko tayari kujaza makaburi mapya ya Kapamisya kwa siku moja.
Ili kufupisha habari tunaiamrisha Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kurejesha mara moja umiliki wa Uwanja wa Mwakangale kwa umma , kuirejesha timu ya mpira wa miguu ya Boma na nyaraka zake zote mikononi mwa wananchi haraka sana , hatuna ugomvi na " mwekezaji " Kipija ambaye ni diwani wa ccm , akitaka kuwekeza afuate taratibu , lakini hatutakubali achukue tu timu ya wananchi kama vile kaokota embe mfipo , ni lazima taratibu za nchi zifuatwe .
Suleiman Jaffo Waziri wa Tamisemi hakikisha ccm inarejesha vyanzo vikuu vya mapato vya Halmashauri ya Kyela bila masharti yoyote na ahakikishe Mbunge wa Kyela anahojiwa na TAKUKURU kuhusiana na jambo hili , maana haiwezekani dhuluma hii kufanyika bila Mh Mbunge kufahamu .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
........ Itaendelea ..........
Mungu ibariki Kyela
Unaweza kuainisha maendeleo yaliyopatikana kwa kuvunja sheria ?Safi sana chama langu CCM na serikali ya awamu ya 5. Kufuata sheria kuna chelewesha maendeleo!
1. Ununuzi wa ndege 7Unaweza kuainisha maendeleo yaliyopatikana kwa kuvunja sheria ?
Aiseee !!!1. Ununuzi wa ndege 7
2. Ujenzi wa chato airport n.k mengine ongeza wewe na wengine!
No retreat no surrender
Mungu ibariki KyelaNo retreat no surrender
Hilo eneo ni Mali ya CCM halmashauri waliliomba kwa masharti watu wajenge halafu baadaye lirudishwe kwa CCM muda wa mkataba ukiisha.Mkataba umeisha .Ukipanga muda ukiisha utadai jengo la kwako?Aiseee !!!
Mdude acha kutishia watu wazima nyauJaffo asipoingilia kati hili suala Kyela itaripuka vibaya sana !
Wewe mtu wa Geita mambo ya Kyela unayajulia wapi , halafu kama hilo unalosema lina ukweli wowote kwanini hizo nyaraka zisiwekwe hadharani ?Hilo eneo ni Mali ya CCM halmashauri waliliomba kwa masharti watu wajenge halafu baadaye lirudishwe kwa CCM muda wa mkataba ukiisha.Mkataba umeisha .Ukipanga muda ukiisha utadai jengo la kwako?
Mkataba ni Kati ya mwenye nyumba na mpangaji.Kitakachowakuta hao watu wenu Mungu ndie anajua.Wanashabikia jambo wasilolijua vizuriWewe mtu wa Geita mambo ya Kyela unayajulia wapi , halafu kama hilo unalosema lina ukweli wowote kwanini hizo nyaraka zisiwekwe hadharani ?
Hujui kitu na huna lolote ! unanipotezea muda bure , kafie mbeleMkataba ni Kati ya mwenye nyumba na mpangaji.Kitakachowakuta hao watu wenu Mungu ndie anajua.Wanashabikia jambo wasilolijua vizuri
Wewe nani kakuambia huyo ni Mdude nawaomba mod wakupige ban ya mwezi humu kutajana majina tumekatazanMdude acha kutishia watu wazima nyau
Kazi ishaanza sasa...Wananchi mliozaliwa Kyela popote mlipo duniani hakikisheni mnapambana mali za umma zirejeshwe
Sheria za jf nadhani hazifanyi kazi kwa wanaccm , wanalindwa sana !Wewe nani kakuambia huyo ni Mdude nawaomba mod wakupige ban ya mwezi humu kutajana majina tumekatazan
Kwani mdude Ni Jina la mtu?Wewe nani kakuambia huyo ni Mdude nawaomba mod wakupige ban ya mwezi humu kutajana majina tumekatazan
Wewe umemtaja kenge hapo mod Kwani mumelala piga bani wenye midomo michafu bila hojaKwani mdude Ni Jina la mtu?