Kyiv nako si shwari, Askari wa Jeshi la Urusi watishiwa usalama wao

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
849
Reaction score
1,482
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine

Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.

KYIV.jpg
 
Putin alijichanganya sana kwenye hii vita. Ogopa sana watu wanaoitwa mabeberu, wanaakili mingi sana.

Putin kajichanganya kajaa, huu ni mwaka wa ngapi bado anapigana vita na nchi ndogo kama Ukraine?

China aliliona hili kwa Taiwan ndiyo maana akakaa kimya. Vita ina gharama sana.

Wakijashituka Marekani bado yupo namba 1 na anaendelea kuwawekea vikwazo tu.
 
Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasonga
 
Wadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine

View attachment 2794466
Propaganda. Wanacheza na maneno tu hapo.

Sheria ya kuuliwa ukisaliti siyo ya leo wala jana. Hiyo ni sheria ya majeshi yote duniani.
 
Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasonga
Jifariji.
Hana huo ubavu wa kupigana na nchi 30+
Hapo Beberu anamzoom tu mwisho wa siku Marekani atakuwa amemzidi mbali sana kiuchumi na vikwazo vitakuwa pale pale.
Unajua Putin anatumia kiasi gani kwenye vita? Unajua Wagner group walikuwa wanalipwa kiasi gani cha hela? Ndiyo utajua kwenye hii vita Putin amejichanganya. Ndiyo maana ameingilia Afrika kuiba dhahabu na Almas kuziba gepu ila bado kadoda.
China kwa Taiwan aliliona hili, sasa hivi yupo bize na kuzalisha bidhaa.
Russia na China, Russia ilikuwa nchi yenye nguvu kuliko China ila sasa km wanalingana au amezidiwa. Tunakoelekea China atamuacha mbali sana kiuchumi na kijeshi. Muda utaongea
 
Wadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine

Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.

View attachment 2794466
Duuu kumbe warusi wapo kyiv
 
Sasa Kyiv inakuwaje SI shwari? Naona heading haiendani na content
 
Putin alijichanganya sana kwenye hii vita. Ogopa sana watu wanaoitwa mabeberu, wanaakili mingi sana.

Putin kajichanganya kajaa, huu ni mwaka wa ngapi bado anapigana vita na nchi ndogo kama Ukraine?

China aliliona hili kwa Taiwan ndiyo maana akakaa kimya. Vita ina gharama sana.

Wakijashituka Marekani bado yupo namba 1 na anaendelea kuwawekea vikwazo tu.
Wakati wewe unashangaa huu ni mwaka wa ngapi Russia anapigana na hiyo unayoiita nchi ndogo (Ukraine), mimi nashangaa leo ni wiki ya ngapi Israel anapambana na kikundi cha wahuni wa kuitwa Hammas.

Ukumbuke kwamba Ukraine anapewa misaada na mabeberu kupambana na Russia, lakini bado maeneo yake yamemegwa. Upande wa pili, Israel anapewa misaada ya kila aina kupambana na wahuni ambao hawana silaha wala mafunzo ya kueleweka!

Uchambuzi wa masuala ya kivita, unahitaji utulivu wa akili.
 
Naona unajifariji.
Unaweza kuilinganisha Russia na Israel?
Tafuta mfano mwingine huenda nikakuelewa
 
Wakati wewe unashangaa huu ni mwaka wa ngapi Russia anapigana na hiyo unayoiita nchi ndogo (Ukraine), mimi nashangaa leo ni wiki ya ngapi Israel anapambana na kikundi cha wahuni wa kuitwa Hammas.

Ukumbuke kwamba Ukraine anapewa misaada na mabeberu kupambana na Russia, lakini bado maeneo yake yamemegwa. Upande wa pili, Israel anapewa misaada ya kila aina kupambana na wahuni ambao hawana silaha wala mafunzo ya kueleweka!

Uchambuzi wa masuala ya kivita, unahitaji utulivu wa akili.
Tena qualification ya juu ya wapambanaji wa Hamas ni wanamgambo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Wadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine

Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.

View attachment 2794466
War propaganda
 
Propaganda
 
Back
Top Bottom