Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
1. Vita ni sawa na kuruhusu panya ghalani utashtuka baadae kuwa nafaka zimeharibiwaPutin alijichanganya sana kwenye hii vita. Ogopa sana watu wanaoitwa mabeberu, wanaakili mingi sana.
Putin kajichanganya kajaa, huu ni mwaka wa ngapi bado anapigana vita na nchi ndogo kama Ukraine?
China aliliona hili kwa Taiwan ndiyo maana akakaa kimya. Vita ina gharama sana.
Wakijashituka Marekani bado yupo namba 1 na anaendelea kuwawekea vikwazo tu.
2. Russia anaona western anamuogopa kumbe anapimwa uwezo
3. Ameachwa ajidai sana mwishowe watamuua kama Sadam na Gadafi.
Kamwe Putin hatochomoka