Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Putin ametumia pesa nyingi sana kuwalipa Wagner group na ukiangalia haiingizi chochote pale Ukraine, dhahabu hakuna wala mafuta.Mkuu , upewe maua YAKO, PUTIN alikosea sana , Alinogewa kuichukua Creamia
Walikuwa wanalingana kiuchumi au alikuwa amemzidi China kiuchumi ila sasa China anamzidi kiuchumi Urusi.
Na Urusi asipoangalia, China atakuwa amemzidi kiuchumi na kijeshi mbali sana. China ilishituka kwa Taiwan ndiyo maana amekaa kimya.
Russia vs Ukraine (Marekani, Uingereza, Ujerumani & Ufaransa). Putin hakusoma huu mchezo