Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasongaPutin alijichanganya sana kwenye hii vita. Ogopa sana watu wanaoitwa mabeberu, wanaakili mingi sana.
Putin kajichanganya kajaa, huu ni mwaka wa ngapi bado anapigana vita na nchi ndogo kama Ukraine?
China aliliona hili kwa Taiwan ndiyo maana akakaa kimya. Vita ina gharama sana.
Wakijashituka Marekani bado yupo namba 1 na anaendelea kuwawekea vikwazo tu.
Propaganda. Wanacheza na maneno tu hapo.Wadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.
View attachment 2794466
Jifariji.Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasonga
Duuu kumbe warusi wapo kyivWadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.
View attachment 2794466
Ukisikia " Washington imesema" unaelewa nini?Duuu kumbe warusi wapo kyiv
Sasa Kyiv inakuwaje SI shwari? Naona heading haiendani na contentWadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.
View attachment 2794466
Huo ni ujinga uliopea.Hata Iraq na Afghanistan walipigana na nchi nyingi tu kwa uvupumba wao na kutaka kujionesha ni mahodari.Mwisho wake?Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasonga
Wemesema nini?Ukisikia " Washington imesema" unaelewa nini?
Russia anapigana na nchi 30+ lkn bado kete zake zinasonga
Wakati wewe unashangaa huu ni mwaka wa ngapi Russia anapigana na hiyo unayoiita nchi ndogo (Ukraine), mimi nashangaa leo ni wiki ya ngapi Israel anapambana na kikundi cha wahuni wa kuitwa Hammas.Putin alijichanganya sana kwenye hii vita. Ogopa sana watu wanaoitwa mabeberu, wanaakili mingi sana.
Putin kajichanganya kajaa, huu ni mwaka wa ngapi bado anapigana vita na nchi ndogo kama Ukraine?
China aliliona hili kwa Taiwan ndiyo maana akakaa kimya. Vita ina gharama sana.
Wakijashituka Marekani bado yupo namba 1 na anaendelea kuwawekea vikwazo tu.
Naona unajifariji.Wakati wewe unashangaa huu ni mwaka wa ngapi Russia anapigana na hiyo unayoiita nchi ndogo (Ukraine), mimi nashangaa leo ni wiki ya ngapi Israel anapambana na kikundi cha wahuni wa kuitwa Hammas.
Ukumbuke kwamba Ukraine anapewa misaada na mabeberu kupambana na Russia, lakini bado maeneo yake yamemegwa. Upande wa pili, Israel anapewa misaada ya kila aina kupambana na wahuni ambao hawana silaha wala mafunzo ya kueleweka!
Uchambuzi wa masuala ya kivita, unahitaji utulivu wa akili.
Tena qualification ya juu ya wapambanaji wa Hamas ni wanamgamboWakati wewe unashangaa huu ni mwaka wa ngapi Russia anapigana na hiyo unayoiita nchi ndogo (Ukraine), mimi nashangaa leo ni wiki ya ngapi Israel anapambana na kikundi cha wahuni wa kuitwa Hammas.
Ukumbuke kwamba Ukraine anapewa misaada na mabeberu kupambana na Russia, lakini bado maeneo yake yamemegwa. Upande wa pili, Israel anapewa misaada ya kila aina kupambana na wahuni ambao hawana silaha wala mafunzo ya kueleweka!
Uchambuzi wa masuala ya kivita, unahitaji utulivu wa akili.
War propagandaWadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata askari wote wanatishiwa kuuawa ikiwa watatoroka kutoka kwa milipuko ya mizinga ya Ukraine. Hali ni mbaya na inazua wasiwasi kuhusu hali ya maadili kati ya askari wa Urusi.
View attachment 2794466
PropagandaWadau naona kipindi hichi tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine