Kyiv nako si shwari, Askari wa Jeshi la Urusi watishiwa usalama wao

1. Vita ni sawa na kuruhusu panya ghalani utashtuka baadae kuwa nafaka zimeharibiwa

2. Russia anaona western anamuogopa kumbe anapimwa uwezo

3. Ameachwa ajidai sana mwishowe watamuua kama Sadam na Gadafi.

Kamwe Putin hatochomoka
 
Tupe mchanganuo wa cost na mimi nikupe za Ukraine icluding NATO
 
Bongo bana yaan mtu anaelezea mambo ya Jeshi kumbe hata hela ya kula Hana au kalala kwenye kochi la shemeji yake

Shauri yenu siku zenu zimekaribia kufurushwa sebuleni kwa shemj
 
1. Vita ni sawa na kuruhusu panya ghalani utashtuka baadae kuwa nafaka zimeharibiwa

2. Russia anaona western anamuogopa kumbe anapimwa uwezo

3. Ameachwa ajidai sana mwishowe watamuua kama Sadam na Gadafi.

Kamwe Putin hatochomoka
Utoto unakusumbua dogo
 
Bado ni mtoto kwenye hawa mambo
 
Proganda. Wanacheza na maneno tu hapo.

Sheria ya kuuliwa ukisaliti siyo ya leo wala jana. Hiyo ni sheria ya majeshi yote duniani.
Swali kubwa la kujiuliza hapa ni kwanini wanajeshi wa urusi wamekosa ari ya kuendelea na vita na badala yake waamua kutoroka mbele kwa mbele hii ndio hoja hapa
 
Proganda. Wanacheza na maneno tu hapo.

Sheria ya kuuliwa ukisaliti siyo ya leo wala jana. Hiyo ni sheria ya majeshi yote duniani.
Proganda ni neno la kabila Gani?
Hivi wewe shuleni ulisomea ujinga?
Kama kiingereza hujui sio lazima kuandika kiingereza.
Na kama kiswahili hujui basi andika kikabila chenu.
 
Mkuu , upewe maua YAKO, PUTIN alikosea sana , Alinogewa kuichukua Creamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…