Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umeelewa nilichaondika au umekurupuka kujibu kwa hisia!??Kwa hiyo wanawake na wanaume matasa nao ni mashoga kisa hawazaliani?
Fungua akili yako acha kukariri sana,
Nakupa homework, nenda kasome masuala ya Sexuality na Gender Identity,
Ukishaipata hiyo elimu wafundishe na wengine usirudi kwangu.
Ulivoikomalia hiyo gender identity sasa!!! Sasa unadhani hawatawatambua hao mashoga kama wanawake ilhali ni wao ambao hufanya hizo surgery na kuupromote ushoga.
Hiyo homework nimeifanya, majibu ni hayo apo.