Hivi niulize kitu! Hawa majini watu nimesha wahi kuwaona mara kadhaa kuna ambae nimesha wahi soma nae ila hua nashindwa kumtofautisha na hawa wengine! Kesi yake naona ipo tofauti, wao wamezaliwa mapacha wa kiume na wakike, ila ishu yao yule wa kike kajikubali kua yeye ni wakike japo hua anajisahau tabia za kiume zina mzidi nguvu sana japo sio mchoyo kutoa utamu wake kama mwanamke, ishu ni huyu wa kiume anatabia za kike kiasi kwamba hawezi jizuia kabisaa na yeye pia anagawa kama dada ake ila shida yeye ni wakiume na kuna siku shemeji yake kamchimba na yeye, msiba huu, ila c kwa yeye kutaka na yupo free kumuuliza swali lolote na anakujibu vzuri tu, anasema hana lakufanya kwa maana ndivyo alivyo jikuta yupo hivyo tangu kuzaliwa kwake, kwake haoni kama ana kasoro kama kaumbwa hivyo, sasa hua nashindwa kumtofautisha na hawa wanao jichukulia maamuzi wakiwa wanajielewa je huyu mtu nilie muelezea hapo ni kundi moja na hawa wajuba wengine