Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umeelewa nilichaondika au umekurupuka kujibu kwa hisia!??Kwa hiyo wanawake na wanaume matasa nao ni mashoga kisa hawazaliani?
Fungua akili yako acha kukariri sana,
Nakupa homework, nenda kasome masuala ya Sexuality na Gender Identity,
Ukishaipata hiyo elimu wafundishe na wengine usirudi kwangu.
😎😎😎mbona unawakingia kifua Sana?Poleeeeeeeee huu mda wa kumuwazia mbappe mabayaa, utafute kazi ufanyee, acha makasiriko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee msagaji unaukweli gani zaidi yakuongea mashudu?🤣🤣🤣ukute hili lidada Lina miaka 30+ ila limejaa uozo.Tukiwaambia ukweli tunaitwa mashoga,
Lakini sitaacha kusema ukweli sababu msema kweli ni mpenzi wa Mungu,
[emoji16][emoji16][emoji16]
Povu jingi sana lazima ipo namna sio bure!Unaweza kukuta hata baba ako shoga,
Ushoga sio jambo la kushangaza yaani mimi uniite shoga, msagaji na mijineno yote unadhani nitaumia?? Zaidi nakushangaa mlivyo busy kufatilia habari za mashoga na ushoga badala ya kutafuta pesa,
Tafiti isiyo na shaka kabisa inasema ukiona mtu anafatilia sana kitu ujue anakipenda na ukiona anakipinga sanaa huku anakifatilia ujue anakifanya,
Tunaona hata humu wanaoleta mada za ushoga ni wale na wanaojitia kupinga ni wale wale na wanaofata watu pm ni wale wale, [emoji1787]
Tanzania yangu nakupenda sana
Ni maisha yao bhana, muwaache waishi watakavyo.[emoji41][emoji41][emoji41]mbona unawakingia kifua Sana?
Poleeeeeh kwa kutesekaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapenda mpira sisi ameutia mpira nuksi atafika mwisho
😎😎dah
Achana nae mkuu huyo ni shoga sema ni vile anajificha tu kwenye kivuli cha ID ya kike wapo wengi sana siku hizi si unaona walivyoitana na kuuvamia uzi huu pale tu mwenzao alipoguswaPovu jingi sana lazima ipo namna sio bure!
Nashukuru kwa hiloNawaombea msamaha wote waliokubeza, nimeifatilia hiyo habari ni kweli Ines sio Girlfriend wa Mbappe isipokua mwanamke aliyeonekana nae kwenye boti watu wakamfananisha na Ines lakini ukiangalia miili yao na sura ni tofauti sababu Ines ni mwembamba sana na ana maziwa madogo na huyo mwingine maziwa yake makubwa na anatunyama angalau,
Lakini zaidi Bibie Ines ana partner wake walianzana mwaka 2015 hadi sasa wapo pamoja,
Tusamehe sisi tusiopenda kutafuta right infos badala yake tunaanza kusambaza uzushi na kuushupalia uwe kweli
View attachment 2464015
Umepigwa na kitu chenye ncha kali [emoji3]Povu jingi sana lazima ipo namna sio bure!
Mashoga wengi humu mkuuu🤣😎😎😎mbona unawakingia kifua Sana?
Mleta mada amekurupuka kweli na amejua kupuyanga sasa anaona aibu kukubali kua alikosea kuleta uzushi humu matokeo yake anatukana watu na kuwaita majina ya ajabu na wafuasi wake kuiponda Google na Wikipedia, mtu anaikataa google wakati habari hizo za uzushi kazitoa huko huko google, [emoji3]Nashukuru kwa hilo
Nina tabia moja kila ninaposikia kitu huwa nahakikisha nimesoma Google kama hiyo Habari ina ukweli na haya ndio matokeo
Huyo mleta Mada kaandika uzi bila kujiongeza na hii ni aibu kubwa kukurupuka
Mimi ni mpenzi wa miziki na sports pia na siasa za Dunia huwa hazinipiti
Kama unakumbuka waimbaji wa Bee Gees watatu walikufa na kubaki mmoja Barry
Nae hivi karibuni waliandika sana kuwa amefariki ila ikawa ni hoax
Kabla sija comment nilitafuta Habari za uhakika
Nimewasamehe mpaka walionitukana na mleta Mada pia
Kwanini usisome Habari za uhakikaNashangaa wewe kusema habari ni ya uongo wakati ni kweli mbape analala na punga
Sasa kwann umtetee mnaajenda gani nyie watu
Nashukuru kwa hilo
Nina tabia moja kila ninaposikia kitu huwa nahakikisha nimesoma Google kama hiyo Habari ina ukweli na haya ndio matokeo
Huyo mleta Mada kaandika uzi bila kujiongeza na hii ni aibu kubwa kukurupuka
Mimi ni mpenzi wa miziki na sports pia na siasa za Dunia huwa hazinipiti
Kama unakumbuka waimbaji wa Bee Gees watatu walikufa na kubaki mmoja Barry
Nae hivi karibuni waliandika sana kuwa amefariki ila ikawa ni hoax
Kabla sija comment nilitafuta Habari za uhakika
Nimewasamehe mpaka walionitukana na mleta Mada pia
Mashoga naona mmeitana mmejazana wengi kweli humuUmepigwa na kitu chenye ncha kali [emoji3]
[emoji38][emoji38][emoji38]Bro tafuta pesa acha kuchunguza maisha ya watu wa kwenye mitandao,
Kuna mwenzio huko kaambiwa aanze kulima hata mboga mboga ajikeep busy,
Lol
Kwanini usisome Habari za uhakika
Nitetee ushoga ili iweje
Kwa hiyo kila linaloandikwa utaamini
Barry Gibb wamemtangazia kafa na watu walihuzunika sana maana mpaka blogs nyingi ziliandika na wengi wapenzi wa mziki waliamini
Mimi nilisoma na kuuliza kama ni za kweli kabla ya comments
Ikawa ni uzushi bado yupo
Nakuomba kabla ya kuleta Habari yoyote uliza kwanza is if fake news?
Umenitukana bure
Jana kulikuwa na Habari kwenye news kuwa kutakuwa na mashindano ya ngumi mapunga nao wanapigana na imeingia kwenye sheria kuanzia 2023
WBC wamepitisha haya wao ndio wanawabeba mapunga na kama mtu akiandika haina maana nae ni shoga
Poleeeeeh kwa kutesekaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app