Mchezaji wa Ufaransa na PSG, Kylian Mbappé hajawahi kuweka wazi mahusiano yake lakini anaripotiwa kutoka na mwanamitindo aliyebadili jinsia Ines Rau.
Mbappé na Ines Rau wameonekana mara kadhaa na Camera za Mapaparazi wakila bata kwenye maeneo ya kujidai!
Ines Rau alizaliwa mwanaume, akiwa na miaka 16 alifanya upasuaji wa kubadili jinsia na kuwa Mwanamke (Transgender).
Ines alipata msukumo wa kufanya upasuaji wake kutoka kwa mwigizaji Caroline Cossey, ambaye alibadilisha jinsia mnamo 1991 alikuwa mtu wa kwanza aliyebadili jinsia kuwahi kutokea katika jarida la Playboy.
Cossey aliandika kitabu ‘I am a Woman’ ambacho kilikuwa chanzo cha msukumo kwa Ines, alikuwa na usaidizi wote kutoka kwa familia yake na marafiki katika upasuaji huo.
Alifanyiwa upasuaji huo akiwa na umri wa miaka 16 lakini hakufichua (hakuweka hadharani) hadi alipokuwa na umri wa miaka 24 (miaka minane baadaye) aliogopa kuweka wazi mapema, alidhani watu watamkataa ikiwa watajua kuwa yeye ni mtu aliyebadili jinsia.
Mbappe Mbappe mbappe usije TZ.
View attachment 2456607View attachment 2456608