Mkuu Barca ki ukweli hatupo sawa hivi sasa, hata Mourinho hapa ataafiki, baada ya kocha wetu mkuu kuwa katika matibabu. Lakini ManU hakuna aliyekosekana (walikuwa full masinonda) kuanzia benchi la ufundi mpaka mashabiki wake.sasa mbona husemei kuhusu barcelona kua wa kwanza LA LIGA lakini wamechapwa goli mbili na AC MILAN ambayo iko ya tatu na point 11 nyuma ya juventus? kwa hiyo unataka kusema SERIE A ni zaidi ya LA LIGA kwa kua ac milan wamewachapa barcelona???
unaongea pumba tu..ndio mijitu isiyokua na uzoefu wa soka nyie mnapayuka payuka
Na wachezaji bora wa FIFA wengi wametokea La Liga.Yeah nakubaliana na ww mkuu. Wabongo kawaida yao ni kubwabwaja bila kufanya tathmini ya vitu. Kwanza tangu lini ubora wa ligi au timu una determiniwa kwa ushindi wa siku moja au mbili? Ukiangalia ligi ya Spain timu zinazoshinda makombe( La liga na Copa del rey) mara nyingi kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ni Barca na Real Madrid. Hakuna timu zingine zinabeba makombe mengi zaidi ya hizo. La liga unaweza kuifananisha na Ligi ya Bongo (enzi zile) bingwa alikuwa Yanga au Simba. Hakuna timu nyingine zinazoweka upinzani mkubwa Spain, afadhali hata ligi ya kirushwa-rushwa ya Italia timu zinazogombania ubingwa ni zaidi ya mbili mwaka baada ya mwaka. Ukiondoa kelele za media na kubwabwaja kwa wapenda soka wa England, ligi yao ina ushindani. Timu ndogo zinatoa kamasi timu kubwa sio kama Spain.
Kwanza UK ni kisiwa na hakiko Ulaya hivo wanabebwa tuu ili wasionekane wapweke.so epl walipoingiza timu tatu nusu fainali na mbili fainali walibahatisha sio?unaweza weka takwimu hapa kuonyesha ni timu za ligi gani zimeingia nusu fainali zaidi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita?
Hah hah hah hah! Timu bora? Blatter, rais wa FIFA kama sijasahau mwaka jana alitamka kuwa LIGI BORA ni La Liga mkuu. Kocha wa Real Madrid kasema juzi tu kuwa 'timu bora imeshindwa' akiwapaka kilemba cha ukoka!hawajui hata ligi bora ikoje wanabwabwaja tu.ligi barca anaenda kwa bilbao mnasubiri kusikia messi kafunga ngapi/barca wameshinda goli ngapi?just imagine,man city anaenda kwa stok cit hana uhakika na ushindi au man u anaenda reading hana uhakika wa kushinda!!!spain kuna timu bora sio ligi bora,jifunzeni kutofautisha mambo.
Kama una DSTV jaribu kujifanya unapoteza muda kwa kuangalia La Liga siku za 'weekend' kwa timu zote (sio tu kuangalia mechi za Barca na Real Madrid) na utaamini soka zuri lipo hapo. Naamini hutapenda tena EPL.Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!
Kwanza hongera mzee mwenzangu, nilikuwa nawe against hawa domo kaya. Mie bado nasema kuwa goli ulizomfunga ManU ni 3-0. Wanaobisha waseme mfungaji wa ManU ni nani!Ofcoz unasababu ya kusema hivyo, even though kiwango cha La Liga kimedrop tofauti na msimu uliopita when Madrid, Barca, Atletico Madrid, Bilbao zilivyokuwa tishio kwa vilabu ulaya hasa vile vya England
sasa mbona husemei kuhusu barcelona kua wa kwanza LA LIGA lakini wamechapwa goli mbili na AC MILAN ambayo iko ya tatu na point 11 nyuma ya juventus? kwa hiyo unataka kusema SERIE A ni zaidi ya LA LIGA kwa kua ac milan wamewachapa barcelona???
unaongea pumba tu..ndio mijitu isiyokua na uzoefu wa soka nyie mnapayuka payuka
Kweli kabisa. Mie kwa mshabiki wa Liverpool namheshimu kidogo kuliko hawa wa ManU, Arsenal au Chelsea.Mkuu mtotowamjini unajua kuna watu wameanza kuangalia mpira wa Ulaya miaka mitatu minne iliyopita ukibishana nao utaonekana mjinga bora kunyamaza.
Kweli kabisa. Mie kwa mshabiki wa Liverpool namheshimu kidogo kuliko hawa wa ManU, Arsenal au Chelsea.
Mkuu upo sahihi mno mbona! DSTV ilipoingia na channel zake tatu ndo iliwamaliza kabisa.Na wengi wameanza kuangalia mpira tangu enzi za Channel ten na mchambuzi alikuwa ni Dokta Rick, wengi ndo walianza kuzijua timu tokea hapo kwa msaada wa Dokta Rick!
Swali lako ni zuri (limekaa ki-EPL zaidi). Nimeisha sema humuhumu kuwa hata rais wa FIFA (Blatter) alitamka jambo hili sio kutuambia sisi Watanzania ila akiwaeleza walimwengu kuhusu UBORA wa La Liga.Jacobus,
Unaposema ligi fulani ni bora kuliko nyingine inabidi useme unatumia vigezo gani,watu wanabishana sana kishabiki lakini wanashindwa kuweka vigezo walivyotumia.Je vigezo vya timu bora ni vipi?
- Ligi ambayo timu zake zimefanikiwa kuchukua mengi makombe ya ulaya zaidi
- Idadi ya wachezaji maarufu/mastaa ambao wanachezea kwenye hiyo ligi
- Utajiri wa kiuchumi wa vilabu vilivyopo kwenye hiyo ligi kuu ya hiyo nchi
- Upinzani na tofauti iliyopo kati ya vilabu vya juu na vya chini kwenye hiyo league
- Staili ya uchezaji ya soka kwenye hizo ligi
- Matokeo kati ya timu kutoka kwenye hizo ligi zinapokutana
Ngoja tujue vigezo then tuanze kufanya assesment ligi gani ni bora
Laliga ipo juu. Tatizo ndugu zetu wa england vyombo vyao vya habari wanajipaisha sana, kuanzia ligi yao mpaka timu lao la taifa. Hawana tofauti na sisi maneno mengi mpira hakuna. Mimi naona bora wangewachukua Rage na Julio
Kwanza UK ni kisiwa na hakiko Ulaya hivo wanabebwa tuu ili wasionekane wapweke.
Na wachezaji bora wa FIFA wengi wametokea La Liga.
Jacobus,
Unaposema ligi fulani ni bora kuliko nyingine inabidi useme unatumia vigezo gani,watu wanabishana sana kishabiki lakini wanashindwa kuweka vigezo walivyotumia.Je vigezo vya timu bora ni vipi?
- Ligi ambayo timu zake zimefanikiwa kuchukua mengi makombe ya ulaya zaidi
- Idadi ya wachezaji maarufu/mastaa ambao wanachezea kwenye hiyo ligi
- Utajiri wa kiuchumi wa vilabu vilivyopo kwenye hiyo ligi kuu ya hiyo nchi
- Upinzani na tofauti iliyopo kati ya vilabu vya juu na vya chini kwenye hiyo league
- Staili ya uchezaji ya soka kwenye hizo ligi
- Matokeo kati ya timu kutoka kwenye hizo ligi zinapokutana
Ngoja tujue vigezo then tuanze kufanya assesment ligi gani ni bora