kuna ligi bora bila bora team bora?? unajichanganya mkuuhawajui hata ligi bora ikoje wanabwabwaja tu.ligi barca anaenda kwa bilbao mnasubiri kusikia messi kafunga ngapi/barca wameshinda goli ngapi?just imagine,man city anaenda kwa stok cit hana uhakika na ushindi au man u anaenda reading hana uhakika wa kushinda!!!spain kuna timu bora sio ligi bora,jifunzeni kutofautisha mambo.
Timu za EPL zipo nne tu (red) wakati za La Liga zipo kama sita hivi(blue)!
umechapia mkuu Olympiacos ni Ufaransa na benifica ni Ureno sio za La liga hizo
Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.
kaka bado mimi nasema hamadi kibindoni mpaka sasa leo Spain 1 tayari,usiwe na wasi kwani Aseno hamuiamini watu wa EPL.So kuingiza timu nyingi kwenye robo fainali Champs League ndio kigezo cha ubora? kwa hiyo Ligue One(French League) ni bora kuliko EPL?,Last season Chelsea alikuwa bingwa UCL je EPL ilikuwa bora kuliko La Liga?
Rooney kipaji hana,Ngasa ana kipaji,ila kwa mpira wa mbinu na ushindi Rooney yupo juu sababu ya malezi,kocha maandalizi nk,na Mourinho si ajabu akipewa Taifa Stars viongozi wawe na mpango mbinu ya soka inawezekana,soka darasa siku hizi,bongo vipaji vingi mbona,angalia hata El Merreikh na El Hilal sasa zipo juu,au hata TP Mazembe,ni makocha na mipango kabambe ya kuendeleza soka,jiulize Korea Kusini ilikuwa chini kisoka walipoandaa chini ya kocha Guus Hiddink ikafika semi final,na mpaka leo Hiddink karuhusiwa ruksa kuingia bila visa Seoul,Hiddink ni mzee wa nusu fainali kuanzia PSV,Barcelona,Chelsea,Holland nk Chelsea kaondoka kwa kutaka kwenda na mkataba wake Russia kama sikosei lakini mpk leo chelsea wanamkubali maana Scolari aliboronga yeye kaja kuwaokoa FA Cup kubeba na kuwatoa Liverpool ktk UEFA Champs ligi maana miaka yote Liva ilikuwa inamtoa Chelsea ktk UEFA miaka miwili mfululizo na akamtambulisha rasmi IVanovic na kufunga mabao mawili ya kichwa vs Liva,kabla ya kuja kutolewa na FC Barcelona kwa away goal la Iniesta nusu final then Barca anacheza na Man utd final Rome.:biggrin1: embu nitajie mchezaji mmoja mwenye kipaji zaidi ya rooney hapo bongo...ur so funny.... motivation na organisation ya timu ni kocha anafanya lakini mwisho wa siku wanayevuka ule mstari mweupe uwanjani ni wachezaji...unataka kuniambia morinho akiwa kocha wa taifa stars basi taifa stars itashinda kombe la dunia?
hana akili huyo chiziTaarifa mkuu, ManU inaongoza kwenye ligi yao. ManC ndio bingwa mtetezi.
Yeah nakubaliana na ww mkuu. Wabongo kawaida yao ni kubwabwaja bila kufanya tathmini ya vitu. Kwanza tangu lini ubora wa ligi au timu una determiniwa kwa ushindi wa siku moja au mbili? Ukiangalia ligi ya Spain timu zinazoshinda makombe( La liga na Copa del rey) mara nyingi kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ni Barca na Real Madrid. Hakuna timu zingine zinabeba makombe mengi zaidi ya hizo. La liga unaweza kuifananisha na Ligi ya Bongo (enzi zile) bingwa alikuwa Yanga au Simba. Hakuna timu nyingine zinazoweka upinzani mkubwa Spain, afadhali hata ligi ya kirushwa-rushwa ya Italia timu zinazogombania ubingwa ni zaidi ya mbili mwaka baada ya mwaka. Ukiondoa kelele za media na kubwabwaja kwa wapenda soka wa England, ligi yao ina ushindani. Timu ndogo zinatoa kamasi timu kubwa sio kama Spain.
Since nimeanza fuatilia soka nimeona timu kama Deportivo,Sevilla,Valencia,Espanyol,Betis,Mallorca,Zaragoza wakibeba CDR.Nafikiri 2011 Real Madrid walibeba CDR baada ya kulikosa kwa miaka karibia 20Mkuu, hiyo ya CDR kaangalie takwimu vizuri utaona kuwa hazifanani na ulichotuambia, si kwa miaka hiyo 10 tu hata nyuma zaidi ya hapo.
Mzee mwenzangu mbona umenichunia? Au hukupenda niingie robo fainali?
Msitake kusema EPL rahisi sababu UNITED amekimbia na Point nyingi hata BArcelona Spain kakimbia na nyingi pia na mkitizama Table za ligi mbili karibia zimefanana ukitizama huko chini utaona za Spain hakuna upinzani wa mwisho unaona ndio kashakwenda na maji ila EPL QPR ananafasi kubwa ya kubaki na baazi kuharibu nafasi za 3 au 4 ila pia tukubali Barcelona na R MAdrid wapo kwenye level ya mbali kabisa kwa top team za EPL ila kwa ujumla wa Ligi EPL best unauwezo wa kutizama MAnchester united na QPR ukasema leo ni 6-0 ila ikaisha 1-0 Game ikawa ngumu sana. La liga unatizama game kufurahisha moyo unajiona unatizama timu moja tu ili uone Messi anafanya mavituz basi hiii mada imekaa kama PELE vs Maradona PELE ni EPL na Maradona ni La Liga nafikiri kwa akili mtu ataelewa nilichomaanisha. alafu GAME ZA EPL nyingi zinakuwa Balance MARADONA Vs MESSI ila wa La liga unajikuta unatizama Game Heskey Vs MEssi.