La Liga vs EPL.

La Liga vs EPL.

hawajui hata ligi bora ikoje wanabwabwaja tu.ligi barca anaenda kwa bilbao mnasubiri kusikia messi kafunga ngapi/barca wameshinda goli ngapi?just imagine,man city anaenda kwa stok cit hana uhakika na ushindi au man u anaenda reading hana uhakika wa kushinda!!!spain kuna timu bora sio ligi bora,jifunzeni kutofautisha mambo.
kuna ligi bora bila bora team bora?? unajichanganya mkuu
 
Hii nayo imekaaje wadau wenzangu? 'Wayne Rooney could be going to a big European club this summer, if we believe what a football legend is saying'.
 
kuna ligi bora bila bora team bora?? unajichanganya mkuu
Wanajichanganya mno hawa. Hivi chakula kisipoiva vizuri hulaumiwa nani? Hivo hivo kikiwa kitamu sifa hupewa nani? Kama sio MPISHI!
 
Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.

Kwa maana hiyo basi AC Milan kuifunga Barcelona na Buyern kuichapa Arsenal ilionyesha kuwa Serie A ni bora zaidi kuliko La Liga na Bundesliga ni bora zaidi kuliko EPL?

Hapo kwenye red, you may be right, but the EPL still the most competitive league in Europe.

Of course, wako wanaopenda kuangalia ligi ambayo ina timu na mchezaji bora duniani, plays sexy football all the time and wins most of the matches.

Lakini kama alivyosema Masanilo "Norwich alimfunga Man Utd, Liverpool alimfunga Norwich, wakati huo huo liverpool ilichapwa na Man Utd." Kwa wengine wanapendelea ligi ya aina hii ambapo anything can happen within the 90 (plus the extra) minutes.

I football, I prefer to expect the unexpected. Kwa wale walionza kufuatilia ligi za Ulaya juzi sidhani kama watazikumbuka mechi kama kwenye video. Pazi The Boss wakumbuka the old good days kama hii?

Hii mechi iliwauma Newcastle mpaka majuzi wachezaji waliocheza hiyo mechi kuomba irudiwe tena wakati wengi wao wameshakuwa wazee. Baada ya mechi kurudiwa, bado Newcastle walifungwa bao 4-1, though Kegak haku-resign tena: Liverpool and Newcastle legends recreate 4-3 epic from '96

 
Last edited by a moderator:
So kuingiza timu nyingi kwenye robo fainali Champs League ndio kigezo cha ubora? kwa hiyo Ligue One(French League) ni bora kuliko EPL?,Last season Chelsea alikuwa bingwa UCL je EPL ilikuwa bora kuliko La Liga?
kaka bado mimi nasema hamadi kibindoni mpaka sasa leo Spain 1 tayari,usiwe na wasi kwani Aseno hamuiamini watu wa EPL.
 
:biggrin1: embu nitajie mchezaji mmoja mwenye kipaji zaidi ya rooney hapo bongo...ur so funny.... motivation na organisation ya timu ni kocha anafanya lakini mwisho wa siku wanayevuka ule mstari mweupe uwanjani ni wachezaji...unataka kuniambia morinho akiwa kocha wa taifa stars basi taifa stars itashinda kombe la dunia?
Rooney kipaji hana,Ngasa ana kipaji,ila kwa mpira wa mbinu na ushindi Rooney yupo juu sababu ya malezi,kocha maandalizi nk,na Mourinho si ajabu akipewa Taifa Stars viongozi wawe na mpango mbinu ya soka inawezekana,soka darasa siku hizi,bongo vipaji vingi mbona,angalia hata El Merreikh na El Hilal sasa zipo juu,au hata TP Mazembe,ni makocha na mipango kabambe ya kuendeleza soka,jiulize Korea Kusini ilikuwa chini kisoka walipoandaa chini ya kocha Guus Hiddink ikafika semi final,na mpaka leo Hiddink karuhusiwa ruksa kuingia bila visa Seoul,Hiddink ni mzee wa nusu fainali kuanzia PSV,Barcelona,Chelsea,Holland nk Chelsea kaondoka kwa kutaka kwenda na mkataba wake Russia kama sikosei lakini mpk leo chelsea wanamkubali maana Scolari aliboronga yeye kaja kuwaokoa FA Cup kubeba na kuwatoa Liverpool ktk UEFA Champs ligi maana miaka yote Liva ilikuwa inamtoa Chelsea ktk UEFA miaka miwili mfululizo na akamtambulisha rasmi IVanovic na kufunga mabao mawili ya kichwa vs Liva,kabla ya kuja kutolewa na FC Barcelona kwa away goal la Iniesta nusu final then Barca anacheza na Man utd final Rome.
 
1/4 ya UCL kuna team tatu(3) from La Liga na HAKUNA team hata moja from EPL.
Ndio maana tunasema, La Liga is better than EPL.
 
Yeah nakubaliana na ww mkuu. Wabongo kawaida yao ni kubwabwaja bila kufanya tathmini ya vitu. Kwanza tangu lini ubora wa ligi au timu una determiniwa kwa ushindi wa siku moja au mbili? Ukiangalia ligi ya Spain timu zinazoshinda makombe( La liga na Copa del rey) mara nyingi kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ni Barca na Real Madrid. Hakuna timu zingine zinabeba makombe mengi zaidi ya hizo. La liga unaweza kuifananisha na Ligi ya Bongo (enzi zile) bingwa alikuwa Yanga au Simba. Hakuna timu nyingine zinazoweka upinzani mkubwa Spain, afadhali hata ligi ya kirushwa-rushwa ya Italia timu zinazogombania ubingwa ni zaidi ya mbili mwaka baada ya mwaka. Ukiondoa kelele za media na kubwabwaja kwa wapenda soka wa England, ligi yao ina ushindani. Timu ndogo zinatoa kamasi timu kubwa sio kama Spain.

Mkuu, hiyo ya CDR kaangalie takwimu vizuri utaona kuwa hazifanani na ulichotuambia, si kwa miaka hiyo 10 tu hata nyuma zaidi ya hapo.
 
1/4 ya UCL kuna team tatu(3) from La Liga na HAKUNA team hata moja from EPL.
Ndio maana tunasema, La Liga is better than EPL.
Mzee mwenzangu mbona umenichunia? Au hukupenda niingie robo fainali?
 
Jacobus,mwaka jana au msimu uliopita sawa,europa cup liliedna Atketico Madrid kwa kuwafunga Atletico Bilbao final(La Liga) na UEFA Champs likaenda Chelsea(EPL)so msimu huu UEFA Champs mpk sasa timu 3 la liga EPL nunge so kuna dalili kombe likatoa La Liga maana robo final ratiba imetoka Malaga vs BVB Dortmund,Real Madrid vs Galatasaray(Drogba,Ebuoe na Sneidjer),PSG(Zlatan) vs Barca isyohusisha waspain ni Bayern Munich vs Juventus,na ktk Europa Cup EPL wana 3,La Liga tupo kapa,Chelsea vs Rubin Kazan,Spurs vs Basel,Benfica vs Newcastle,isiyohusisha waingereza ni Fenebarce(Dirk Kuyt) vs Lazio,so Laliga huenda na nina uhakika 99% wanabeba UEFA Msimu huu maana kwanza kwa timu kama Barca sasa I trust,na wao EPL japo siwawekee dhamana wanaweza kubeba Europa Cup 1wapo wa timu zao 3 japo siweki dhamana hata kwa shamba langu la kule Makabe na kazimzumbwi.
 
Mkuu, hiyo ya CDR kaangalie takwimu vizuri utaona kuwa hazifanani na ulichotuambia, si kwa miaka hiyo 10 tu hata nyuma zaidi ya hapo.
Since nimeanza fuatilia soka nimeona timu kama Deportivo,Sevilla,Valencia,Espanyol,Betis,Mallorca,Zaragoza wakibeba CDR.Nafikiri 2011 Real Madrid walibeba CDR baada ya kulikosa kwa miaka karibia 20
 
LA LIGA MPIRA WAO WANATIZAMANA KUCHEZA PASI PASI NDOMANA MNAONA WANAJUWA FOOTBALL MTU AKIGONGWA KIDOGO KWAO FOUL NDOMANA UNAONA KINA MESSI WANAKIMBIZA TU NA C RONALDO SABABU MABEKI WANAWATIZAMA HUKU STYLE ZILE WATABAKI KU DIVE TU SASA MTU KAMA VAN PARSIE AU SUAREZ LIGI YA SPAIN KWA FOOTBALL BEKI ANAKUSINDIKIZA TU KWA KUKUTIZAMA WATAFUNGA KILA SIKU KAMA MESSI NA C RONALDO HUKU BEKI LIGI YA UK ANAKUONDOA WEWE NA MPIRA KAMA ITALY NDOMANA ITALY GAME ZINAISHA NYINGI 1-0 au 1-1. SPAIN TIMU 2 tu ZILIZOBAKI MAJINA Tu VALENCIA NA ATLETICO MADRID. MESSI HUKU KILA SIKU ANGELIA NA REFA HAKUNA MAREMBO NA KUTOLEWA TIMU ZA UK SIO SABABU LA LIGA BORA MARA NGAPI TIMU ZA UK ZIMEFIKA FINAL CL? KATIKA MIAKA 10?.
 
Msitake kusema EPL rahisi sababu UNITED amekimbia na Point nyingi hata BArcelona Spain kakimbia na nyingi pia na mkitizama Table za ligi mbili karibia zimefanana ukitizama huko chini utaona za Spain hakuna upinzani wa mwisho unaona ndio kashakwenda na maji ila EPL QPR ananafasi kubwa ya kubaki na baazi kuharibu nafasi za 3 au 4 ila pia tukubali Barcelona na R MAdrid wapo kwenye level ya mbali kabisa kwa top team za EPL ila kwa ujumla wa Ligi EPL best unauwezo wa kutizama MAnchester united na QPR ukasema leo ni 6-0 ila ikaisha 1-0 Game ikawa ngumu sana. La liga unatizama game kufurahisha moyo unajiona unatizama timu moja tu ili uone Messi anafanya mavituz basi hiii mada imekaa kama PELE vs Maradona PELE ni EPL na Maradona ni La Liga nafikiri kwa akili mtu ataelewa nilichomaanisha. alafu GAME ZA EPL nyingi zinakuwa Balance MARADONA Vs MESSI ila wa La liga unajikuta unatizama Game Heskey Vs MEssi.
 
Msitake kusema EPL rahisi sababu UNITED amekimbia na Point nyingi hata BArcelona Spain kakimbia na nyingi pia na mkitizama Table za ligi mbili karibia zimefanana ukitizama huko chini utaona za Spain hakuna upinzani wa mwisho unaona ndio kashakwenda na maji ila EPL QPR ananafasi kubwa ya kubaki na baazi kuharibu nafasi za 3 au 4 ila pia tukubali Barcelona na R MAdrid wapo kwenye level ya mbali kabisa kwa top team za EPL ila kwa ujumla wa Ligi EPL best unauwezo wa kutizama MAnchester united na QPR ukasema leo ni 6-0 ila ikaisha 1-0 Game ikawa ngumu sana. La liga unatizama game kufurahisha moyo unajiona unatizama timu moja tu ili uone Messi anafanya mavituz basi hiii mada imekaa kama PELE vs Maradona PELE ni EPL na Maradona ni La Liga nafikiri kwa akili mtu ataelewa nilichomaanisha. alafu GAME ZA EPL nyingi zinakuwa Balance MARADONA Vs MESSI ila wa La liga unajikuta unatizama Game Heskey Vs MEssi.

Ligi ipi bora na ipi si bora, ni vile mtu anapima kwa vigezo vyake, na kwa wakati husika.
Waitaliano wao kwa miaka mingi wanaamini kuwa serie A ni bora kuliko ligi zote kiasi cha kufikia hatua ya kutowaita wachezaji wao walio nje ya serie A kuichezea Azul.(mf Zola).
Spain hali kadhalika, wachezaji wanaoanza ktk 1st 11 yao ni wale wanaocheza La liga, wa nje ya la liga eg.EPL, wamekuwa wakitumika zaidi kama sub, so hapo mtu anaweza kutumia kigezo hicho kupima kupima ubora wa ligi.
 
Back
Top Bottom