Jacobus,mwaka jana au msimu uliopita sawa,europa cup liliedna Atketico Madrid kwa kuwafunga Atletico Bilbao final(La Liga) na UEFA Champs likaenda Chelsea(EPL)so msimu huu UEFA Champs mpk sasa timu 3 la liga EPL nunge so kuna dalili kombe likatoa La Liga maana robo final ratiba imetoka Malaga vs BVB Dortmund,Real Madrid vs Galatasaray(Drogba,Ebuoe na Sneidjer),PSG(Zlatan) vs Barca isyohusisha waspain ni Bayern Munich vs Juventus,na ktk Europa Cup EPL wana 3,La Liga tupo kapa,Chelsea vs Rubin Kazan,Spurs vs Basel,Benfica vs Newcastle,isiyohusisha waingereza ni Fenebarce(Dirk Kuyt) vs Lazio,so Laliga huenda na nina uhakika 99% wanabeba UEFA Msimu huu maana kwanza kwa timu kama Barca sasa I trust,na wao EPL japo siwawekee dhamana wanaweza kubeba Europa Cup 1wapo wa timu zao 3 japo siweki dhamana hata kwa shamba langu la kule Makabe na kazimzumbwi.