La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

Naunga mkono sensa! Mawigi ni kero, hasa kwa joto la Dar!
 
mmnh hata mie siyapendi madude hayo...usimpate mdada mweusi piiiiiiiiiii kavaa liwigi la blonde!! yaani wacha tu..... halafu yana harufu mweh!
 
 
Nilisha sema narudia tena kusema Jamani SIPENDI MAWIG, BORA GIRL FRIEND WANGU ANYOE KIPARA NGOTO..
 
Naomba nihitimishe sensa yangu kama ifuatavyo:

Kwa ujumla wachangiaji walikuwa wengi. Kulikuwa na jumla ya wachangiaji 168 ambao asilimia 89 wameniunga mkono kwamba hawataki mawigi, asilimia 9 walikuwa kinyume nami kwa maana kwamba wanaunga mkono mawigi na asilimia 2 hawaeleweki kama wanaunga au wanapinga. Kwa hiyo, what I can recommend to my dearest sisters ni kwamba from now on waachane na mawigi. Wale ambao vichwa vyao vina kasoro fulani basi wanaweza wakaendelea kuyavaa hayo mawigi. Asanteni sana kwa michango yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…