Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:
basi mnakoipeleka hii nchi siko.
Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya kadhia hii:
1. Kuyafanya hayo yatauweka huru utawala wenu kuwa ni wa haki.
2. Kuyabeza na kuendeleza kushupaza shingo zenu, kutaashiria kuwa mmedhamiria kututawala kidhwalimu.
"La mwanzo tegemeeni uungwaji mkono mkubwa na wapenda haki wote. Ila hili la mwisho halitakubalika."
Ninawasilisha.