La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umenichekesha sana.
Asante
 
Broh mbona kule kwenye 'chit chat' yetu sikuoni?
Kimya kimya au? [emoji6]
Mambo vipi sister langu la ukweli? Nilijoin J.mosi siku ile mikia wamepewa kichapo, sema kidogo muda nao unanibana.
 
Thank you Mkuu The bold, Hizi story zinanifanya nifikirie mbali sana hadi najiuliza ni kwanini mama zao na wahalifu hawakutoa mimba zoa hao majamaa, dah yani mtu anakua na ukatili utafikiri hajawahi kuona/ kuoneshwa upendo toka azaliwe. Ila ungeendeleza kidogo juu ya wale wafungwa waliotoroka juzi gerezani, inavyoenekana serikali haiwezi kuwakamata hao Los zetas.
 
Hivi hawa La Ultima Letra na ISIS nani ni hatari?
 
Alaf kuna watu wanazngua humu: unakuta mtu ana-QUOTE Story yote alaf chini anaweka emoji tu..is it necessary to quote the whole story for no reason!??[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…