La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Hakika Trump ameletwa na Mungu kuiokowa Marekani, mashoga, magaidi na magenge ya dawa za kulevya watashughurukiwa ipasavyo, na waislamu waelewe wazi ukienda Roma uishi kama Waroma, Marekani ni Taifa la kikristo ukijijuwa wewe ni mwislamu na unataka kuishi Taifa la makafir ni lazima ufuate kile wanachotaka wao sawa na nchi za kiislamu zinavyowaradhimisha wasio waislamu kuvaa vilemba.
 
Nimgeni kwa uwanja huu Na naomba unitag plz coz kazi nimeipenda mno.
 
Mkuu nyie tukiwaacha free ni hatari tupu...ndio maana hakuna namna zaidi ya uonavyo [emoji4]

Kwema kabisa, asante Shem.
Miaka ya 80 kulikuwa na upinzani mkali kati ya athmani juma chama na zamoyoni mogela mpaka ikawa mtu akitaka kukusisitiza kitu uwe makini anakwambia chama na mogela .Kituko kilikuwa hivi mogela aliumia akaenda kutibiwa nje ya uwanja sasa yule chama akawa amesimama penye mstari wa chaki anamsubiri atibiwe warudi kuliendeleza mogela alifungwa bandeji kichwani na kurudi. Sasa hapa kwa Nifah nauona ukabaji huo kwa ukaribu sana.
 
Hahahahahahahah.!! Daaaahh hatari sana..
 
Kwakweli sijawahi kukaba kama nikabavyo sasa,nae ananipa sababu za kumkaba zaidi.
Ni lazima nimkabe tu maana hakuna namna nyingine [emoji4] [emoji85]
Hahahahahaaaaa
 
Kama kweli ni taifa la kikristo bila shaka itakuwa si huu ukristro wa kristro bali version ingine ya ukristo!
 
Kwakweli sijawahi kukaba kama nikabavyo sasa,nae ananipa sababu za kumkaba zaidi.
Ni lazima nimkabe tu maana hakuna namna nyingine [emoji4] [emoji85]
Hahahahahaaaaa
Ila na wewe cha moto unakiona jinsi ninavyokukalia kooni... Tumekutana wakabaji hahahahahahahah
 
Kwakweli sijawahi kukaba kama nikabavyo sasa,nae ananipa sababu za kumkaba zaidi.
Ni lazima nimkabe tu maana hakuna namna nyingine [emoji4] [emoji85]
Hahahahahaaaaa
Basi ndio hivyo bibie Chama na mogela tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…