La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Ahsante mkuu the bold kwa tag yako....soon nitaifuatilia hii story


Much respect
 
Daah hii story ni tamu sana ila hii vita ya madawa ni ngumu sana kuimaliza kwa sababu inahusisha hata vigogo wanaoendesha operesheni za kuzuia madawa ya kulevya.


Kutoka Medelin Cartel vs Cali Cartel
Gulf Cartel vs Sinaloa Cartel
Hadi. Gulf/Sineloa Cartels vs Los Zetas
 
We jamaa kwanini usiandike vitabu ...mbona km una fit sana kwenye ishu hizo nadhani kwa hobby yako hiyo ndo njia ya kupata mafanikio...
 
Napenda sana story zako hongera mzee, i once read this in weekpedia
 
Hawa jamaa ni noma sana aisee ila hiv had mfungwa anatoroka gerezan ina maana had walinzi wanahusika kusuka mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…