La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Ongezea nyama mkuu wengine mbali ya kujifunza tunaburudika na haya makitu.
 
Dah hadi mwili unatetemeka asante mkuu kwa historia
 
Pamoja sana mkuu..

Mkuu The bold uzi wa 27/01/2017 nimeusoma leo kwa kweli nimesononeka mkuu. Nimecheck tag list yako nikaona umekosea ID yangu ndio maana sipati notifications. Mimi naitwa mij ila mku umeandika T-@mij ndio maana napitwa na mambo muhimu mkuu. Tafadhali rekebisha mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijui kwanini ila nimecheka sana.
 
Reactions: mij
STORY HII NIMESOMA KUFIKA MWISHO NIMESAHAU INAHUSU NINI.NITASOMA TENA KESHO KWA UMAKINI
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijui kwanini ila nimecheka sana.

Pole mkuu Nifah ila mkuu The bold alishanitag hapo awali sasa nikaamua nifuatilie tatizo nini mbona sipati notifications? Ndio nimegundua hiyo kasoro.
 
Shukrani mkuu,haya mambo yanatisha sana hivi genge la el chapo limesamaratika au bado wanaungaunga kusavaiv?
Shukrani sana mkuu..

Genge la El Chapo (Sinaloa Cartel) bado lipo ingawa haliko strong kama alipokuwepo mwenyewe kabla hajakamatwa.. Kwa sasa kimegubikwa na vita ya ndani kwa ndani ya wenyewe kugombea madaraka ya juu ya kuongoza genge.!
 
Dah pole sana mkuu! Niwie radhi..
Narekebisha hill kosa Mara moja!!
 
Reactions: mij
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…