njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08
Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima waparangane na usajili na kuwapa mapumziko wachezaji wao
Sasa viongozi wa simba wekeni nguvu huku basi..angola...Guinea..Tunisia ikishindikana turudi tu kwa mazembe maana ile match ya last year ilikuwa tamu sana kuona ufundi wa Zemanga soze tunataka kina Apkan, kiyombo,kapama wakutane na mafundi wa kweli
Chondechonde msije mkarahisisha mambo kwa kukimbilia Burundi, Rwanda, kenya au zambia kwa kigezo kwamba it is just a friendly match leteni team iliyopo top ten africa au top 20 ikishindikana zaidi ya Tunisia kwa Esperance au Etoile du sahel ,Guinea kwa Horoya,Angola kwa Petro atletico,congo kwa mazembe basi hata Sudan basi kwa Al hilal.