Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

Hadithi yako ya kutunga umeharibu kwenye age tu ingeendana na ukweli
 
Kuna jamaa niliwahi kuwajua, nao ilikuwa hivyo kama yako ila ikiwa kinyume, yaani baba wa mke, alikuwa anamchukua mama wa mume, mpaka kwenye harusi ya vijana wao ilikuwa wazi na kila mtu alikuwa anaona. Ila ilikuwa ni nje ya Tz.
 
ULITAKA ULALE NA MAMA MKWE WAKO???
 
Hata mimi nikiipata nafasi ya kumtembelea kijana wangu nikakutana na mkwe wake tukawa watu wenye ukaribu lazima nimpime kama anaingilika,
Siwezi tumia gharama za kutafuta aliye mbali nitatafuna bila kutembea mbali,
Mzee wako nampongeza kwa maamuzi ya haraka na yenye uthubutu safi sana.
 
Nyie watu mnajua maana ya laana?

Laana ni kulala na mama yako hayo mengine ni f**ken story

Hahaha.. Mzee wako alizama chumvini hadi akapaliwa..
 
Baba yako ni mdogo sana. Ningekuwa ni mimi na hiyo age kisha umeoa basi ningehangaika na mkeo na bila shaka tungeshea hata watoto. Kwenye mambo ya sex huwa najivua vyeo vyote na kubaki na neno "uanaume" na kinachokuja mbele yangu kama kikinitamanisha basi nautendea uanaume wangu haki.

Hilo la kutembea na mamkwe mbona ni la kawaida sana?? Emb acha wivu bwana. Sasa ulitaka apige punyeto akiwa ndani kwako?
 
Laana kuita baba yako mhuni. Acha mara moja!!!
 
Nimeyaweka wazi hapo juu . 44 by 27
Hawatakuelewa sema hao wazazi wameshindwa kujizuia, wangeyafanya hayo nje ya nyumba yako. Wote hawafai

Muwezeshe Mzee arudi kwake na hata mamamkwe pia arudi kwake. Kumbuka mlamba asali halambi mara moja ni lazima wataendeleza .
 
RUDIA UPYA KUTUNGA KUNA SEHEMU UMEJICHANGANYA MZEE BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…