Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

Watoto wa f 6 mnasumbua sana humu na vistory vyenu vya kutunga
[emoji23] [emoji23] daah mkuu hata mimi nimeshangaa. Huyu kijana kama baba yake yupo kwenye early 40s maana yake na yeye yupo kwenye early 20s. Af ameoa na amejenga nyumba yenye vyumba kadhaa...hivi wengine mjini hapa tunafanya nini?
 
[emoji23] [emoji23] daah mkuu hata mimi nimeshangaa. Huyu kijana kama baba yake yupo kwenye early 40s maana yake na yeye yupo kwenye early 20s. Af ameoa na amejenga nyumba yenye vyumba kadhaa...hivi wengine mjini hapa tunafanya nini?
Mkuu usihofu, kuna njia nyingi za kupata mali. Kwa mfano mimi ni mzee wa kubet sana . bahati na sibu hainaga umri.
 
Mkuu mzee wangu ni wa 1973 m nkazaliwa 17 years later. Nafikiri umenielewa sasa.
Kama hajaoa mwambie kabisa achukue mzigo. Unajua huku kwetu wanaitana sanzi sasa huyu usanzi huwa unakoleza mambo we acha tuu. Utakuta wanataniana ukiuliza unaambiwa huyu ni sanzi wangu. Halafu mdingi ndio kwanza yuko kwenye forties unataka sense wapi. Acha hizo bwana. Mchunie tu mjeda
 
Duh, nimeshangaa kuwa baba yako yuko kwenye early 40s halafu ana kijana wa kiume ambaye ameoa na ana watoto! Yaani inanipa picha kuwa huyo mzee hizo tabia ni za kawaida na alizianza zamani.

Ningekuwa mimi wala nisingemwacha, lazima ningemweka kitako na kumrudisha kwake, adabu yake ni ndogo mno.

Vv
 
Mkuu kama wewe dume la kenge,mzee yeye dume la kuku yaani Jogoo anapanda tu jike lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…