Nyotinzuri
Senior Member
- Mar 17, 2017
- 135
- 200
Huu n uongo mtakatifu kabsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kujenga Nyumba yenye vyumba vya kutoshaDuh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usemacho kama kana kaukweli vile. Ila daahLaana ni wewe mamamkwe wako ni Mzazi mwenzie shida nn.ulitaka umguse wewe ?
Wapo watu kibao wanamiaka 25 hapa mjini wameishia form 4 ...lakini unakuta mtu ananyumba nzuri gari yakutembelea nzuri nabiashara zakueleweka... Watu wengine wamekariri mpaka uwe na mastaz uajiriwe ndo uanze kujenga.Nashukuru kwa tusi .kumbuka kuna njia nyingi sana za kupata mali. Kijitafutia kwa nguvu, bahati na sibu, kurithi, kwa njia ya uwizi na utapeli na mengine mengi. Naona wewe umekariri njia moja tu ya kutafuta mwenyewe kwa nguvu na akili. Pole sana
Ndoa ya early 20 aliyejenga, mwenye watoto umeiona wapi?Rudia hesabu zako watakua early 20
Nimecheka sana. Shukuru Mungu mzee anapumzika kwa mama mkwe. Imagine angehamishia tricks zake kwa mkeo ingekuwaje?Mzee wangu huwa ni mhuni namjua vizuri ila kwa nini afanye kitu kama hii ndani mwangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu weweeeeeeeeeLaana iko kwenye heading ila story haina shida kabisa,Baba katika Ubora kudadadeeek!!!
Sina comments, avatar yako mpya imenivutia mkuupole sana ndio umkalishe mzee wako chini ajue umejua kila kitu
Mtoto mjinga sana huyu. Alitaka am....mbee mkewe?Laana gani sasa?!ww mbona unatembea na mtt wa mama mkwe wako