Laana inavyovuruga watu bila kujua imetoka madhabahu gani!

Hongera Mshana umetoka kwenye Uganga umehamia kwenye Injili
 
Wasiojulikana tumewalaani sana na hakijawapata kitu chochote.

Laana haipo ni kutishana tu miongoni mwetu.
 
kutokutii mamlaka za dunia zilizowekwa na Mungu kupitia sauti ya wengi ni laana ambayo inawatafuna watu wengi bila kujua..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sio kila mamlaka inatoka kwa MunguView attachment 3129333
Sasa haya masanamu ya Miti na Plastic yanaweza kumpa mtu Mamlaka wakati jayaongei, hayana mdomo, hayatembei mpaka yabebwe kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Wala hayana uhai.
 
3.Hili jambo limekuwa likitumika na baadhi ya watu wanaoitwa watumishi wa Mungu pale wanapoona kuna mtu haendani nao au kukinzana nao ...wamekuwa wanatumia laana kama vitisho au silaha ya maangamizi kwa baadhi ya watu.
Yule RC naye pia alilaaniwa na mtumishi mmoja hivi
 
ndio maana unakuta watu wanalalamika tu bila kua na maono ya mbadala wa malalamiko yao..

ndiyo maana wana mihemko, makasiriko na ghadhabu kupindukia ambazo hazina maana, umuhimu wala msaada wowote kwao..

ndio maana roho ya chuki, ukaidi na kiburi vimewajaa na kila wanalopanga linabuma tu, na linalofanikiwa halina matokeo. Laana za kujitakia mbaya sana aise...

laana inamfanya muungwana ajione ni bora zaid ya wote, ajipe umuhimu wa kipekee zaid ya malaika, kwamba asemacho yeye au atakacho yeye ndio cha muhimu na cha maana kuliko wengine..Laana bana dah

Laana inamfanya muungwana awe ni mtu wa kuzira, kugoma na kususa tu 🀣
inafanya mtu aone dosari na makosa ya wenzie tu 🀣

Ni muhimu kutii mamlaka za dunia zilizowekwa na Mungu la sivyo mtapata tabu sana kwa laaana za kujitakia bila kujua πŸ’
 
Na nyie watu wa kundi lile ndio mmejaa sana humu.
 
Labda nadhani hujafuatilia mjadala vema. Huyo mdau alisema mamlaka za dunia ziheshimiwe kwakuwa zinatoka kwa Mungu
Mimi nikampinga kwa kusema si kila mamlaka ya dunia ina baraka za kimungu na nikaambatanisha na picha
 
Kuna mamlaka za giza duniani na zina nguvu sana.. Take this note
 
Za watu kutekwa na kuuwawa nazo mamlaka hizo zinatoka kwa Mungu!?
 
Picha inatisha hivyo vidubwasha kwenye picha viko chumbani mwa mtu na analala usingiz mzuri kbsa.
Huyo tayari ameshauza roho yake na kusaini mikataba na kutiwa mihuri hivyo hana shida hapo yuko salama kabisa.. BTW hiyo ni madhabahu hapo kwenye chumba chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…