Karungi baby girl
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 301
- 380
utajijuNoma noma nomaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utajijuNoma noma nomaaaa
kutafuta uenyekiti kwa chama kwa ramli, kutoana kafara na kuchukuana misukule kisha kusingizia vitu vingine ni laana kubwa zaid ina ambatanaga na usaliti 🐒
Wenye makanisaWatomishi gani hao?
Baby girlutajiju
Makanisa gani au unazungumzia yale maeneo ya kufanyia matambiko kwa jina la Yesu?Wenye makanisa
HayohayoMakanisa gani au unazungumzia yale maeneo ya kufanyia matambiko kwa jina la Yesu?
Wanaamsha mashetaniHayohayo
Hakika upande huu unakufaa kuliko ule mwingine 🤣🤣🤣Kuna maandiko yanasema: Basi njoo unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitaweza tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye umbarikiye hubarikiwa na yeye umlaaniye hulaaniwa.
1.Laana ni sehemu ya kuua nguvu na laana hutoka kwenye kinywa cha mtu aliyeandaliwa na madhabahu, laana humfanya mtu apigwe, laana humfanya mtu afukuzwe, miungu ikitaka kumvuruga mtu inatumia laana kwanza.
2.Laana ni silaha ambayo inatumiwa na adui maeneo mengi bila watu kuwa makini.
Laana imekuwa silaha ya kuangamiza maono ya wengi bila wao kujua wanapigana na nini kumbe ni silaha ya laana toka vinywa vya watu kupitia miungu yao.
3.Hili jambo limekuwa likitumika na baadhi ya watu wanaoitwa watumishi wa Mungu pale wanapoona kuna mtu haendani nao au kukinzana nao ...wamekuwa wanatumia laana kama vitisho au silaha ya maangamizi kwa baadhi ya watu.
Hii ni dalili ya kwamba baadhi yao vinywa vya watumishi vinatumiwa na miungu kulaani!!. Maana neno linasema waombeeni wanaowaudhi. Pia samehe upishe ili upishe adhabu ya Mungu.
4.Ni mara nyingi utasikia watu baadhi tena ni watumishi wakisema fulani biashara yake imekufa ,ndoa yake imevurugika, mtoto wake amefeli, au amefukuzwa kazi au huduma imekufa au maisha yameenda mrama "sisi ndio tulimlaani au tuliomba"(utagundua huu ni uchawi toka kwa miungu) Ukichunguza watu hawa utagundua si wepesi kuonyesha shuhuda za mema waliyoomba.
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekutana na baadhi ya watu wana matatizo na misongo ya mawazo na hawafanikiwi, ukishauriana nao unagundua wamelaaniwa na watumishi na kutishiwa vifo na kutokufanikiwa. Je ni Mungu yupi anayetaka tulaani badala ya kubariki!!? utagundua ni miungu inatumia vinywa vya baadhi ya watumishi bandia
Nafasi za utumishi tumepewa bure ni vyema tukazitumia kujenga na pia kujikomboa maeneo ambayo midomo yetu haijakombolewa
Mzazi anajilinda asimlaani mtoto wake halafu anashangaa haeleweki kumbe ameshalaaniwa na baadhi ya watumishi, hili ni jambo la kuomba rehema na kufuatilia pia ibada ambazo zinaweza kuleta madhara hata kwa vijana na mabinti na watu wengine.
Mungu aturehemu na afute kila laana na inayotamkwa ili kuua maono au nguvu. Ndoto na Nuru
Ndimi Mjoli wenu
Jr.View attachment 3129312
🤣😅🤣 umenifanya ni izoom picha umakini zaidi.Naona hadi mboro ya bandia hapo
Hua nawazaga hii picha haipo ikulu kweli😄😄😄.kutokutii mamlaka za dunia zilizowekwa na Mungu kupitia sauti ya wengi ni laana ambayo inawatafuna watu wengi bila kujua..😀😀😀
Sio kila mamlaka inatoka kwa MunguView attachment 3129333
ndio maana unakuta watu wanalalamika tu bila kua na maono ya mbadala wa malalamiko yao..
ndiyo maana wana mihemko, makasiriko na ghadhabu kupindukia ambazo hazina maana, umuhimu wala msaada wowote kwao..
ndio maana roho ya chuki, ukaidi na kiburi vimewajaa na kila wanalopanga linabuma tu, na linalofanikiwa halina matokeo. Laana za kujitakia mbaya sana aise...
laana inamfanya muungwana ajione ni bora zaid ya wote, ajipe umuhimu wa kipekee zaid ya malaika, kwamba asemacho yeye au atakacho yeye ndio cha muhimu na cha maana kuliko wengine..Laana bana dah
Laana inamfanya muungwana awe ni mtu wa kuzira, kugoma na kususa tu 🤣
inafanya mtu aone dosari na makosa ya wenzie tu 🤣
Ni muhimu kutii mamlaka za dunia zilizowekwa na Mungu la sivyo mtapata tabu sana kwa laaana za kujitakia bila kujua 🐒
SijakuelewaNini ya bandia za umeiona?
ndio maana unakuta watu wanalalamika tu bila kua na maono ya mbadala wa malalamiko yao..
ndiyo maana wana mihemko, makasiriko na ghadhabu kupindukia ambazo hazina maana, umuhimu wala msaada wowote kwao..
ndio maana roho ya chuki, ukaidi na kiburi vimewajaa na kila wanalopanga linabuma tu, na linalofanikiwa halina matokeo. Laana za kujitakia mbaya sana aise...
laana inamfanya muungwana ajione ni bora zaid ya wote, ajipe umuhimu wa kipekee zaid ya malaika, kwamba asemacho yeye au atakacho yeye ndio cha muhimu na cha maana kuliko wengine..Laana bana dah
Laana inamfanya muungwana awe ni mtu wa kuzira, kugoma na kususa tu 🤣
inafanya mtu aone dosari na makosa ya wenzie tu 🤣
Ni muhimu kutii mamlaka za dunia zilizowekwa na Mungu la sivyo mtapata tabu sana kwa laaana za kujitakia bila kujua 🐒
Laana ya Mafwele na Tisiem sio ?ukiambiwa kugombea uenyekiti chadema Taifa ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi, ni muhimu sana kutii hili, otherwise kitakachokupata ni laana ya kiwango cha kutisha wengine na wakati huo ukiwa umeR.I.P🐒
Nipe muda niweze kukujibu kwa kina na kwa welediMi sijaelewa Mkuu naomba ufafanuzi!
1. Miungu ni Nini? Chanzo chake ni Nini?
2. Je hao miungu wanaundugu wowote na Mungu au wanaugomvi wowote na Mungu
3. Je? Mtu wa kawaida anaweza akajitengeneza na kuwa mmoja wa Miungu
4. Chanzo Chao ni Nini na nguvu yao ni ipi, kwann Wana nguvu kuzidi ufaham wa kibinadm..
" Ni hayo tuu mkuu"
nafasi ya mwenyekiti chadema Taifa itapoteza wengi sana aise dah! Ni sumu na laaana kwa chama kizima saivi.Laana ya Mafwele na Tisiem sio ?
Endeleeni kuuwa I'la mjue watu Hawa kuwamiliki kimsukule hamtaweza kamwe.