Laana inavyovuruga watu bila kujua imetoka madhabahu gani!

Ubongo wetu Huwa Kuna vitu vinachakatwa bila sisi kujua, we unadhani umeviacha lakini ni kama data zipo zimeifadhiwa maeneo ndo zinakuja kama ndoto we huna hili Wala like, (nimejaribu kufafanua tu uwezo wangu)
 
Asante.
 
Thank you for this important message. Tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kuna Agano na wazee
 
Huko kote kuna vitu ulitamani/ulidhamiria kufanya na kwa mazingira yoyote yale ukashindwa kuvifanya sasa ni kama unakumbushw
La pili kulikuwa na matukio maalum sana hivyo ubongo ukachukua kumbukumbu za eneo husika na zikaganda kwenye mlango wa nane wa fahamu hivyo ndotoni huwa tetrieved
Zaidi soma

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…