Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Huyu kavurugwamiaka 35? kwa nini akose ajira au ulimaanisha miaka 55?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kavurugwamiaka 35? kwa nini akose ajira au ulimaanisha miaka 55?
Na huo ndio ukweli hata mbongo 35+ hawezi kufanya kazi masaa 12+ non stop lazima achoke na lazima aumweNajua watu wengi mnasema hamjaelewa Kwa kuwa mnawaza mambo ya kustaafu. China kazi nyingi zipo kwenye mfumo wa Mkataba.
Lakini hoja siyo umri bali wenye kazi zao wanataka mtu anayeweza kufanya kazi kwa muda mrefu, kazi kubwa na kwa ustadi mkubwa.
Kwa ivo imeonekana shinikizo la kufanya kazi kwa masaa 12 mfululizo, watu wenye miaka 35 na kuendelea hawawezi.
35 huwezi kumpigisha kazi masaa 13+ asichoke itakua hujamwelewa mleta mada Ila madogo 12 13 mpaka 20 damu mbichi anapiga hata masaa 15+ bila kuchokaHuyu kavurugwa
amevugwa haswa si kidogoHuyu kavurugwa
Child labor ni kosa kisheria kampuni haziajiri watotoHuyo kashapiga kazi 996 tangu akiwa na miaka 12 sio huku bongo unaanza kazi una miaka 30+ tena unaanza saa 2 asubuhi saa 10 JIONI kazi umemaliza overtime mwisho saa 2 usiku
Kwamba wanaanza kazi na miaka 12 ? Unavuta bangi ?
Child labor nimetolea mfano tu sijamaanisha wanawaajiri wenye umri huo fikiria nje ya boxChild labor ni kosa kisheria kampuni haziajiri watoto
Acha kuwa mpuuzi hakuna kampuni inaajiri watoto wa miaka 12, 13.35 huwezi kumpigisha kazi masaa 13+ asichoke itakua hujamwelewa mleta mada Ila madogo 12 13 mpaka 20 damu mbichi anapiga hata masaa 15+ bila kuchoka
Mfano wa kijingaChild labor nimetolea mfano tu sijamaanisha wanawaajiri wenye umri huo fikiria nje ya box
Mzee ushawahi kufanya kazi na wachina?Acha kuwa mpuuzi hakuna kampuni inaajiri watoto wa miaka 12, 13.
Umewahi kufanya kazi na wachina? Km hujawahi Bora unyamaze maana huwajui wachinaMfano wa kijinga
Kuzaa zaa hovyo bila malezi bora kwa watoto ni upumbavu wa kiwango cha juu huu upumbavu ubaki kwa sisi wajinga watu weusi tunao endekeza ngono zembeWalegeze sheria za uzazi ili kuijaza tena nchi.
Sio tu kufanya nao kazi mpaka kuishi nao ujinga wanafanya huku kwenye bara la gizaMzee ushawahi kufanya kazi na wachina?
Waongezee na jingine... Watu wenye zaidi ya miaka 35 wengi wanakuwa wana familia hivyo wanakuwa na majukumu mengine ya nyumbani wakati vijana eg miaka 20 wengi hawajaoa na hawana majukumu.Sababu kubwa zipo tatu.
1 . Baada ya Japan nchi inayofuatia Kwa kufanya kazi kwa muda mrefu ni China. China Kwa Sasa kufanya kazi Kwa masaa mengi ni kitu kinachohitajika kwa mtu kubaki kwenye ajira.
China ni nchi inayosimamiwa na chama cha kikomunisti Lakini sehemu kubwa sana ya uchumi wake unaendeshwa na makampuni binafsi ya kibepari.
Hayo makampuni Yana ushindani mkubwa sana na Ili yakidhi nguvu ya kushindana ni lazima wafanyakazi wake wafanye kazi kwa bidii na Kwa muda mrefu sana.
Tatizo soko la ajira ni dogo kuliko idadi ya vijana wenye ujuzi na stadi ya kazi hizo na kutokana na udogo Wa soko la ajira, watu wanaotaka kufanya kazi kwa ujira wowote ule wanazidi kuongezeka.
Maana yake watu wenye umri wa miaka 35 na kuendelea wameonekana kuwa baada ya kufanya kazi kwa muda fulani huonekana kuchoka haraka na kushindwa kuhimili shinikizo la kufanyakazi nyingi na kwa muda mrefu.
2. Mahitaji ya bidhaa sokoni ni makubwa.
3. Viwango vya elimu viko Juu sana na vijana wengi Wana stadi za kazi wakati soko la ajirano dogo.
Kwa hio unataka kusemaje?Sio tu kufanya nao kazi mpaka kuishi nao ujinga wanafanya huku kwenye bara la giza
Child labor ni kosa kisheria kampuni haziajiri watoto
Sio hoja ya umri. China shahada ya kwanza watu wanapata wakiwa na umri wa miaka 22.Kwamba wanaanza kazi na miaka 12 ? Unavuta bangi ?
That's true Ila kuna mwamba atakubishiaWaongezee na jingine... Watu wenye zaidi ya miaka 35 wengi wanakuwa wana familia hivyo wanakuwa na majukumu mengine ya nyumbani wakati vijana eg miaka 20 wengi hawajaoa na hawana majukumu.
Bongo wengi hawatakuelewa kwa sababu hawajui nchi zilizoendelea watu wanavyofanya kazi. Kwa kifupi waambie ni kama mpira wa miguu. Kwa nini mchezeji mwenye mika 35 anakosa stamina na anaitwa mzee wakati miaka 20 ana soko zaidi?Najua watu wengi mnasema hamjaelewa Kwa kuwa mnawaza mambo ya kustaafu. China kazi nyingi zipo kwenye mfumo wa Mkataba.
Lakini hoja siyo umri bali wenye kazi zao wanataka mtu anayeweza kufanya kazi kwa muda mrefu, kazi kubwa na kwa ustadi mkubwa.
Kwa ivo imeonekana shinikizo la kufanya kazi kwa masaa 12 mfululizo, watu wenye miaka 35 na kuendelea hawawezi.
Kwa hio unapingana na mleta mada au unaungana nae?Sio hoja ya umri. China shahada ya kwanza watu wanapata wakiwa na umri wa miaka 22.
Kwa Ivo Kwa staili ya kufanyakazi Kwa masaa 12+ mfululizo Kwa miaka 10 siyo kitu kidogo.
Hili ni tatizo na ndiyo maana chama cha Kikomunisti china kimelijadili.