....Laazizi ARABELA.....unampango gani Wa siri humu ndani.......???

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
...My nimepita pita humu humu ndani na kusikia sikia maneno maneno je ni ya kweli....Maana sipendi kuwapa watu gharama ya kukarabati viungo vya miili yao...hakuna spea,moh,temeke,m/nyamara,GENERAL,........EMBU funguka kabla sijaenda mbali sana.

..MISSION PHASE 1....is ...loading.......
 
Embu fumbua kwanza hayo mafumbo hapo, dada Arabela mnatatizo na baunsa wako?
 
Last edited by a moderator:
I love you very much my darling Arabela. Forget about zubedayo_mchuzi. Ingawa wambeya wameshampa taarifa wewe usijali tuendelee kuimarisha penzi letu. Leo twende outing wapi la'aziz?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnatuchanganya! Wakubwa?
Sasa kt ya zubedayo mchuzi na Arushaone nani anabeba ndoo?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnatumiksisha mistari Wakubwa?
Sasa kt ya zubedayo mchuzi na Arushaone nani anabeba ndoo?
 
Last edited by a moderator:

Copy: Filipo, Arushaone, St. Paka Mweusi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…