....Laazizi ARABELA.....unampango gani Wa siri humu ndani.......???

....Laazizi ARABELA.....unampango gani Wa siri humu ndani.......???

Hah hah hah hah!!! King Mswati IV!
Copy : Madame B, KOKUTONA, Blaki Womani and "many others!"

20101106_422_KK3_what_f_bad_word.jpg
Filipo?????????????
 
Last edited by a moderator:
...My nimepita pita humu humu ndani na kusikia sikia maneno maneno je ni ya kweli....Maana sipendi kuwapa watu gharama ya kukarabati viungo vya miili yao...hakuna spea,moh,temeke,m/nyamara,GENERAL,........EMBU funguka kabla sijaenda mbali sana.

..MISSION PHASE 1....is ...loading.......

mbona husemi kuwa ni mwezi sasa hujarudi nyumbani?
 
Arabela muke ya muzungu mambo vipi. naona wabongo wanatamani vitu vyako.
 
I love you very much my darling Arabela. Forget about zubedayo_mchuzi. Ingawa wambeya wameshampa taarifa wewe usijali tuendelee kuimarisha penzi letu. Leo twende outing wapi la'aziz?

yani mpendwa namvumilia ZEBEDAYO_mchuzi baada ya kunishukuru aja nitolea uvivu hapa. Leo twende pangani
 
Last edited by a moderator:
Vumilia tu si umeyataka mwenyewe. Na bado, ndo uje utenguliwe kiuno . . .mi usinitafute!

da Kipipi yani ulimkataa huyu shem wako. Usiniache katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom