I love you very much my darling Arabela. Forget about zubedayo_mchuzi. Ingawa wambeya wameshampa taarifa wewe usijali tuendelee kuimarisha penzi letu. Leo twende outing wapi la'aziz?
...My nimepita pita humu humu ndani na kusikia sikia maneno maneno je ni ya kweli....Maana sipendi kuwapa watu gharama ya kukarabati viungo vya miili yao...hakuna spea,moh,temeke,m/nyamara,GENERAL,........EMBU funguka kabla sijaenda mbali sana.
..MISSION PHASE 1....is ...loading.......
mbona husemi kuwa ni mwezi sasa hujarudi nyumbani?
Kime'smell !
I love you very much my darling Arabela. Forget about zubedayo_mchuzi. Ingawa wambeya wameshampa taarifa wewe usijali tuendelee kuimarisha penzi letu. Leo twende outing wapi la'aziz?
Vumilia tu si umeyataka mwenyewe. Na bado, ndo uje utenguliwe kiuno . . .mi usinitafute!my kaka Slave hata simuelewi. Kuja nyumbani haji
unauliza nini wewe....kaa pembeni....bomu huwa halichagui