I love you very much my darling Arabela. Forget about zubedayo_mchuzi. Ingawa wambeya wameshampa taarifa wewe usijali tuendelee kuimarisha penzi letu. Leo twende outing wapi la'aziz?
Mhhhh......shosti Arabela mbona hujaniambia?
Shost ana lijibaunsa mi wala sisogei,huyo anaetuhumiwa analo!
da Kipipi yani ulimkataa huyu shem wako. Usiniache katika kipindi hiki kigumu
Penda penda huonekani!!!!!!
unajua heshima ya kuwa mke wa mtu,kwanini unakuwa na mipango na vijana ambayo mi siifahamu?....huyo filipo mna mpango gani?? huyo ARUSHAONE nae mbona anavamia tu au kwa sababu ana kaofisi humu ndani? na huyo bishanga anataka nni kwako....
Mi sijaonekana home njoo unione kama ili unambie vizuri ulikuwa ....unajua kuwa nilikuwa mtwara kuzuia GESI isije bwagwamoyo....sasa ndo uwe na mipango mingi mingi.
copy...kwangu mwenyew.
Me nilikwambia nina mipango na nkakwambia ikifanikiwa utakuwa wa kwanza kujua
uliniaga kuwa waenda kwenye GESI? Unajua heshima ya kuwa mume wa mtu
Shost ana lijibaunsa mi wala sisogei,huyo anaetuhumiwa analo!
Huyo zubedayo_mchuzi a.k.a @zologwa mbabda hana lolote...,, anapiga mikwara ukimkazia anaanza kutishia kuroga
kwani ni wewe ni mke wangu....??? mbona unadandia dandia tu
Shost ana lijibaunsa mi wala sisogei,huyo anaetuhumiwa analo!
Ya mchuzi zubeayoooo....