St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
ni shemeji yako huyo ila tupo kwenye migongano
ni shemeji yako huyo ila tupo kwenye migongano
Ha ha haa, umetisha shostito.....
kaa pembeni....huu moto unazimwa kwa mvua tu....ntafumua mpaka kaofisi kako...nianike na form zako...hapa...zile za yale madawa....unamtaka mke wangu ili nae awe ana kohoa kohoa....
Huyo zubedayo_mchuzi a.k.a @zologwa mbabda hana lolote...,, anapiga mikwara ukimkazia anaanza kutishia kuroga
Atapata taabu i see lol
Nini tena? ??????
Atakua kajitakia mwenyewe,minyama yote hiyo looool!siku wakizinguana sipati pic!
Sijambo mumy niko tu natafakari na weekend.
Vip TA?